emmanuel nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Dkt. Nchimbi: Watanzania, msiache kuiombea nchi

    Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano. Makamu wa Rais amesema...
  2. M

    Vita ya Urais 2030, CCM imeshawasetu Mwigulu na Emmanuel Nchimbi wasiweze tena kugombea urais, January Makamba Out, ni options gani zimebaki?

    Kwa utamaduni wa ccm mtu akishahudumu kwenye nafasi kubwa kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais, vyeo hivyo vitamtosha hadi atapostaafu. Pia kuna utanaduni wa kubadilisha marais kwa dini, akitoka Mkristo ataingia Muislam hasa wa Zanzibar hawa wote walikuwa wanaonekana kuwa marais 2030 lakini...
  3. K

    Ni nani anawalipa Online TVs ili washushe Clips za Emmanuel Nchimbi kupigiwa makofi? Ili iweje?

    Hivi karibuni Februari 28, 2026 wakati wa Msiba wa Hayati Polycarp Kadinali Pengo kila mtu anakumbuka kilichotokea kuhusu suala ya kupigiwa au kutopigiwa makofi kwa wanasiasa. Baadhi ya Viongozi wastaafu walipigiwa sana makofi na waaumini lakini wale waliopo madarakani kwa sasa hali ilikuwa...
  4. figganigga

    Vita ya Urais 2030, itawatoa roho Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi

    Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais. Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem.. Anaongea kwa kufoka...
  5. S

    Emmanuel Nchimbi, kama kweli uko serious, njia pekee ni kujiuzulu tusikuweke kundi moja na wenzako

    Huu ndio ushauri wangu kwa Dkt. Nchimbi kama kweli anaguswa na uovu unaoendelea dhidi ya wapinzani. Kwahiyo, kama hawezi au ameshauri na hasikilizwa na bado yuko nao, bora tu akae kimya tujue nae ni wale wale. NB: Atajijengea heshima kwa kujiuzulu kuliko kusubiri wamuondoe kwa hilia .
  6. Mindyou

    Nchimbi: Kazi ya kutumikia nchi ni ngumu na ndio maana maaskofu mapdri na masheikh wapo

    Wakuu, Akizungumza leo Februari 28, 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi amesema "Kazi ya kutumikia nchi sio rahisi sana ni ngumu. Ina vishawishi ina vitisho lakini ndio maana maaskofu mapadri masheikh wapo ili watumishi wengine katika maeneo mengine mizigo inapowaelemea maaskofu...
  7. Waufukweni

    Askofu Fernandes: Tunasimama na Serikali, mkifanya vizuri tutawabariki, mkifanya vibaya tutawakemea

    Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Dr. Vernon Fernandes, akiwa Madhabahuni mbele ya Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, amesema mara kadhaa kuwa Kanisa la Kipentekoste limekuwa likitengwa na Serikali. Hata wakialikwa kwenye vikao vingi, bado hawapewi nafasi...
  8. Roving Journalist

    Dkt. Nchimbi: Mpango wa Ushirikiano kati ya Vyuo na Sekta ya Viwanda ni Hitaji la Lazima

    https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  9. The Palm Beach

    Hii kauli ya Nchimbi inaashiria kitu kimoja tu; kuna jambo zito na baya Ikulu ambalo sisi huku nje hatujalifahamu!

    https://www.jamiiforums.com/threads/nchimbi-awaomba-viongozi-wa-dini-kumwombea-rais-samia-dhidi-ya-watu-wabaya.2418471/ Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi alipohudhuria mkutano wa CPCT jana tarehe 7/2/2026. Ujumbe wa hotuba hii unasisitiza mambo kadhaa...
  10. R

    PostGE2025 Nchimbi: Kuendelea kuzungumzia ya Oct 29 ni kutolitendea haki Taifa. Tayari Rais ameunda Tume

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo...
  11. R

    Yu wapi Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi?

    Salaam! Ni kweli ni kiongozi batili aliyekalia kiti batili baada ya uchaguzi batili KUYEYUKA na watanzania kwa maelfu kuuawa. Lakini kama binadamu, nina haki ya kujua alipo ndugu huyu. Mwenye taarifa juu ya alipo Ndugu Emmanuel Nchimbi anifahamishe! Karibuni 🙏
  12. saidoo25

    Kwanini Makamu wa Rais Nchimbi hajahudhuria kikao cha Kamati Kuu kilichokata jina la Mtoto wa Jenista?

    Ndugu Wajumbe, kuna maswali mengi huku mtaani kuhusu ukimya uliotanda juu ya wapi alipo Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi? Hivi majuzi kulikuwa na Kikao kikubwa cha Kamati Kuu kilichoketi Zanzibar kupitisha jina la mgombea ubunge Jimbo la Peramiho ambapo Jina la Mtoto wa Jenista lilikatwa...
  13. H

    Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 14 Januari 2025. Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha...
  14. ChekoFagia

    Nchimbi amtembelea na kumjulia hali Makamu wa Rais Mstaafu Mohamed Gharib

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, katika makazi yake Masaki Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 02 Januari 2026.
  15. H

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  16. The Palm Beach

    Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

    https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m- • Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari.... • Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored... • Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua...
  17. H

    Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  18. H

    Makamu wa Rais aongoza Waombolezeji katika mazishi ya Marehemu Jenista Mhagama

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista...
  19. DuaZaMama

    PostGE2025 Nchimbi: Hivi ndivyo waziri mkuu anatakiwa kuwa sio unakuwa dhaifu dhaifu

    "nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo uliyotoa yale hivi ndivyo Waziri Mkuu anavyotakiwa kuwa sio Waziri Mkuu dhaifu dhaifu naye anaanza...
  20. H

    Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa Jenista Mhagama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama.
Back
Top Bottom