elon musk

Elon Reeve Musk ( EE-lon; born June 28, 1971) is a business magnate, industrial designer, and engineer. He is the founder, CEO, CTO, and chief designer of SpaceX; early stage investor, CEO, and product architect of Tesla, Inc.; founder of The Boring Company; and co-founder of Neuralink and OpenAI. A centibillionaire, Musk is one of the richest people in the world.
Musk was born to a Canadian mother and South African father and raised in Pretoria, South Africa. He briefly attended the University of Pretoria before moving to Canada aged 17 to attend Queen's University. He transferred to the University of Pennsylvania two years later, where he received bachelor's degrees in economics and physics. He moved to California in 1995 to attend Stanford University but decided instead to pursue a business career, co-founding the web software company Zip2 with his brother Kimbal. The startup was acquired by Compaq for $307 million in 1999. Musk co-founded online bank X.com that same year, which merged with Confinity in 2000 to form the company PayPal and was bought by eBay in 2002 for $1.5 billion.
In 2002, Musk founded SpaceX, an aerospace manufacturer and space transport services company, of which he is CEO, CTO, and lead designer. In 2004, he joined electric vehicle manufacturer Tesla Motors, Inc. (now Tesla, Inc.) as chairman and product architect, becoming its CEO in 2008. In 2006, he helped create SolarCity, a solar energy services company that was later acquired by Tesla and became Tesla Energy. In 2015, he co-founded OpenAI, a nonprofit research company that promotes friendly artificial intelligence. In 2016, he co-founded Neuralink, a neurotechnology company focused on developing brain–computer interfaces, and founded The Boring Company, a tunnel construction company. Musk has proposed the Hyperloop, a high-speed vactrain transportation system.
Musk has been the subject of criticism due to unorthodox or unscientific stances and highly publicized controversies. In 2018, he was sued for defamation by a diver who advised in the Tham Luang cave rescue; a California jury ruled in favor of Musk. In the same year, he was sued by the US Securities and Exchange Commission (SEC) for falsely tweeting that he had secured funding for a private takeover of Tesla. He settled with the SEC, temporarily stepping down from his chairmanship and accepting limitations on his Twitter usage. Musk has spread misinformation about the COVID-19 pandemic and has received criticism from experts for his other views on such matters as artificial intelligence and public transport.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump apuuza umeme wa jua(solar) China ikichanja mbuga, Elon Musk alia solar kutelekezwa

    Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe! Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha...
  2. W

    Biashara ya Elon Musk ilikuwa hatarini kufa kwa kuwa upande wa Trump, Kinachoendelea ni script ya kuokoa biashara aonekane kahama upande

    ni script kama ya mieleka wanayoicheza pamoja na Trump. Elon kawa na mchango mkubwa sana hasa kwa kina Trump na chama chake cha Reoublicans, Pesa za Elon Musk ndizo zilifanikisha dunia ipate mtandao unaojali uhuru wa maoni (Zuckbereg wa facebook na insta ni muoga sana kaanza kuongea kuingiliwa...
  3. Elon Musk has just unveiled XChat, a what app alternative

    Elon Musk has just unveiled XChat, a revolutionary new platform that is set to redefine private communication. With a strong focus on security and user privacy, XChat offers a suite of features that will elevate the messaging experience. It boasts end-to-end encryption, ensuring that all your...
  4. Mvutano Mkali Kati ya Elon Musk na Donald Trump Wazidi Kuibuka: Siasa, Fedha na Madai Mazito Yaleta Mpasuko

    Elon Musk na Donald Trump wameingia kwenye mgogoro mkubwa hivi karibuni kwa sababu kadhaa ambazo ni 1. Mgawanyiko kuhusu “One Big Beautiful Bill” Musk amekosoa kwa nguvu muswada wa $3‑trilioni ambao Trump alichochea. Alisema utaleta deni kubwa, utapunguza ruzuku za magari ya umeme, na kuzuia...
  5. Elon Musk aondoka serikalini kwa aibu kubwa, utapeli wake wa DOGE washindwa vibaya na kulaaniwa kila kona

    Huyu bwana alianza kwa mbwembwe kubwa akiwa analazimisha watumishi wote wa serikali kuu nchi nzima wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya kila wiki mwishowe ikaishia kwa yeye kutakiwa na bodi ya wakurugenzi arudi kazini kwake Tesla na kufanya majukumu yake aliyotekeleza. Naada ya...
  6. Yaripotiwa Elon Musk kutwangana makonde na waziri wa fedha wa Marekani, Scott Bessent

    Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima...
  7. N

    Ugomvi wa Marafiki - Trump na Elon Musk

    Trump na Musk wanafanya biashara ya matusi huku mzozo ukizuka hadharani Mtafaruku kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na mshauri wake wa zamani Elon Musk umeibuka wazi, huku kila mmoja akifanyia biashara matusi baada ya bilionea huyo wa teknolojia kukosoa mojawapo ya sera muhimu za ndani za...
  8. R

    The Epstein Files: Elon Musk amemhusisha Trump na Epstein file. EPSTEIN FILES ni kitu gani?

    Trump na Elon sasa hawaivi, maadui kabisa! Epstein files ni kitu gani? zina nini ndani? Umuhimu wake ni nini? Nimejaribu kutafuta kwenye mitandao nikapata kitu kama hiki , na nikiri sikufanya undani sana maana ni kitu kinachohitaji muda mwingi kukitafuta kwa undani. Inawezekana nikawa...
  9. Hatimae USA hatoweza kufika kwenye space kwasabu ya Ujinga wa Trump.

    Baada ya vita kubwa kati ya Trump na Elon Musk, kuhusiana na bajeti iliyopitishwa, huku Trump akiona itasaidia uchumi na Elon musk akiona inaongeza deni, sasa ndoto za wamarekani zinaenda kuzimwa. Trump alikuwa na lengo lakuitawala Space lakini alijisahau bila Elon musk hawezi toboa. Kupitia...
  10. E

    Chanzo cha mgogoro kati ya Rais Trump na Elon Musk

    Wiki moja baada ya bilionea wa Marekani, Elon Musk kutangaza kujiondoa katika Serikali ya Rais Donald Trump, uhusiano wao umeendelea kutetereka kiasi cha wawil hao kulumbana mitandaoni. Musk ambaye ni mmiliki wa kampuni za Tesla, Space X na mtandao wa X (zamani Twitter) alitangaza kujiondoa...
  11. X

    Elon Musk: "Trump yuko kwenye file la Epstein hii ndio sababu ya msingi haijawekwa hadharani."

    Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno. Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
  12. Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

    Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
  13. Rais Donald Trump na Elon Musk ndani ya Oval Office

    Dakika chache zilizopita, Rais Donald Trump kaongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika hafla ya kumuaga Elon Musk, ambaye amenaliza muda wake kama ‘Special Government Employee’. Kinyume na narrative ya baadhi ya watu kuwa Trump na Musk wamemwagana [whatever that means], Musk kamaliza...
  14. Elon Musk atangaza kuondoka katika utawala wa Rais Trump wa Marekani

    Bilionea wa teknolojia Elon Musk ametangaza kuwa anaondoka katika utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, ambako aliongoza mradi wa miezi kadhaa wa kupunguza gharama katika serikali ya shirikisho. "Wakati wangu niliopangiwa kama Mfanyakazi Maalum wa Serikali unakamilika, ningependa...
  15. Elon Musk na D Trump tayari wamemwagana

    Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka Trump was somehow...
  16. Jumuiya za Kimataifa, Gen Z Kenya, Elon Musk na Diaspora saidieni kupaza sauti ukandamizaji mkubwa unaoendelea Tanzania

    Hii ni kwa wale wenye mapenzi mema ma wazalendo wa nchi yao, Wote tunashuhudia ukandamizaji mkubwa wa demokrasia, utekaji na mauaji makubwa yakifanyika mchana kweupe. Wote tunashuhudia ni kwa jinsi gani CCM imedhamiria kutumia mabavu kwa namna yoyote kuhakikisha inasalia kwenye dola, Nani...
  17. Kuifungua X ni kumtukana Elon Musk.

    Kumtukana bila sababu. Kumuhusisha na hackers wa Gen X au whoever it is is troubling our country. And this is not the first time the government is arguing with Elon. Recently lilikuwepo tatizo kama Hilo. Inaweza kuleta matatizo. What insult is there ukisema Rais Samia amefariki? Lakini...
  18. B

    Siku Elon Musk anatambulishwa kwangu alibubujikwa na machozi na Vinyweleo Kumsimama

    Hiki kisa ukienda pale Harvard University watakusimulia wale ma Professor maana ilikuwa gumzo siku hiyo. Mimi sina hili wala lile kumbe Elon Musk ashaambiwa kuwa kuna kijana Black Ame ana akili balaa. Akawa anasimuliwa stories zangu na maskendo yangu ya kutosha pale Harvard. Jinsi ambavyo kuna...
  19. Masharti magumu Elon Musk huwapa wanawake wanaomzalia watoto.

    Elon Musk tajiri namba moja duniani na boss wa Tesla huwapa masharti wanawake ambao anawabebesha mimba. Sharti la Kwanza kutotangaza mimba. Na kujifungua kwa njia ya opereshen C-section. Na kama Mtoto wa kiume asitahiriwe. Elon Musk anaamini Mtoto akizaliwa Kwa njia ya C-section anakuwa na...
  20. Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…