elimu

  1. SoC02 Je, ni elimu bora au bora elimu?

    Itakuwa ni jambo la kustaajabisha endapo hata kwa bahati mbaya haujawahi kukutana na moja ya msemo miongoni mwa misemo ifuatayo: “elimu ni ufunguo wa maisha”, “elimu ni mwanga”, “elimu ni ukombozi”. Ninapata nguvu ya kueleza hicho nilichoeleza kwa maana misemo hiyo michache na mingine mingi...
  2. SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto

    Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
  3. SoC02 Elimu Bure Imeifikisha hapa Sekta ya Elimu

    Utangulizi Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
  4. SoC02 Elimu yetu na hatima ya vibarua nafuu wenye vyeti

    Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani elimu ni gharama, basi jaribu ujinga". Miaka mingi baada ya uneni huu lakini bado hakuna hatua za...
  5. M

    SoC02 Elimu bora na bora Elimu

    Elimu ni maarifa mtu anayo yapata kutoka kwa wazazi, walimu na jamii inayo mzunguka.Elimu huongeza maarifa na kuondoa ujinga. Sasa kuna Elimu bora na bora Elimu. Watu wengi husema Elimu bure sio Elimu bora, Elimu ya gharama ndio Elimu bora. Je ni kweli? Wazazi wengine watumia gharama...
  6. SoC02 Mazingira upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe

    Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe Na wenu, Mtambo 1272019 Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
  7. SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kuepuka vifo vya ghafla vya watoto wachanga

    Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha...
  8. N

    SoC02 Elimu ya juu kwa maendeleo ya Tanzania

    ELIMU YA JUU TANZANIA Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa mafanikio ikiwa na maana ya kuwa ni wajibu wa kila mtu kuipata bila kuzingatia hali ya Maisha, jinsia...
  9. Elimu ikigoma usiilazimishe

    Mko gado humu!? Pole kwa nitakayemgusa moja kwa moja au kupitia mtu wake wa karibu. Basi Kuna nyakati ukifikiria masuala ya nchi na maamuzi yanayofanywa na viongozi wetu kuhusu mustakabali wa nchi yetu na maisha ya Watanzania unaweza kujiuliza kwamba hivi watu huwa wanapata elimu ili wawe...
  10. C

    SoC02 Mapendekezo yatakayoleta mabadikiko chanya katika elimu ya kitanzania, Hasa kuifanya elimu iwe ya kufurahia na isiyo chosha kwa wanafunzi

    Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni , vyuoni , na maishani .(nukuu kutoka kamusi ya kiswahili sanifu). Elimu huwasilishwa kwa njia mbili; nazo ni elimu rami na elimu isiyo rasmi . Elimu rasmi kutolea na walimu wenye sifa na juzi wa kufundisha wakati elimu isiyo rasmi ipo nje ya...
  11. B

    Kwenu Wizara ya Elimu na Tamisemi

    Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu. Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye aweze kuwa huru kwenye kuhama shule kutoka shule ya private na kuingia shule ya serikalini. Kama...
  12. Z

    Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  13. Naombeni Elimu Kuhusu NBA All-Stars

    Habarini wakuu..Mimi nacheza basketball japo sio katika level kubwa kiivo ila nachezea hadi timu inayoshiriki ligi ya mkoa ya Mpira wa kikapu ya Arusha.. Kwa wapenzi wa kikapu hasa Kule Marekani (NBA) waga kuna mashindano yanaitwa NBA All-Stars ambayo hujumuisha East(Team Durant) na West(Team...
  14. SoC02 Kwanini mafanikio kupitia elimu yanaonekana kama mvua inyeshayo jangwani?

    Kwa miaka mingi kabla na hata baada ya uhuru, watanzania wengi na hata watu wengine duniani kote, wamekuwa na imani ya kuwa, elimu ndio ufunguo wa maisha. Lakini katika uhalisia wake elimu na mafanikio katika maisha vimekuwa vitu viwili tofauti kabisa. Ni kama mtu aliyeko kusini akiitafuta...
  15. M

    SoC02 Vikwazo vya kupata elimu bora vijijini

    Ikisiri Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi vikwazo mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali yanayojadili swala hili, vilevile wapo wadau wa elimu...
  16. M

    Kwanini kujiendeleza kwa walimu hukuleti tija ya kuinua ubora na kiwango cha elimu?

    1. Nianze hoja kwa kuomba wahusika na wadau wa idara, kurugenzi na wizara wafanye uchunguzi ili wajiridhishe na kuthibitisha uhalisia wa swali hili. 2. Lengo la serikali kuwapa watumishi wake fursa ya kujiendeleza kimasomo (mafunzo kazini) ni kuweza kuongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa...
  17. H

    SoC02 Elimu ya Upili Tanzania

    ELIMU YA UPILI TANZANIA Elimu ni ujuzi na maarifa juu ya jambo fulani,inayomwezesha binadamu kupata uelewa juu ya dhana tofauti. Elimu ziko za aina mbalimbali,ila hugawanywa katika aina kuu mbili nazo ni, elimu rasmi na elimu isiyo rasmi. Elimu rasmi ni elimu inayowasilishwa katika taasisi...
  18. SoC02 Nini/kipi kifanyike ili tuwe na elimu bora Tanzania?

    Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji. Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa kufanywa ili kupatikane ufundishaji na ujifunzaji bora, yaani kwa maneno mengine, tupate elimu bora...
  19. Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  20. SoC02 Samaki Mkunjeni, Ila Mwanangu Msimguse!

    (Mwanzo) Hadithi Fupi “Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…