elimu

  1. Prof. Mkenda: Tuko tayari kwa mjadala wa kitaifa kuhusu Mapendekezo ya Sera ya Elimu na Mitaala

    Mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya Serikali ili kupata ridhaa ya rasimu zilizoandaliwa kupelekwa kwa wadau kwa mjadala wa kitaifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa...
  2. Kwa mujibu wa Sensa, hii ndiyo mikoa liyowekeza vyema kwenye suala la elimu

    Mikoa mama ya Kanda ya ziwa yani Mwanza, Mara na Kagera inaonekana kujizatiti vyema haswa katika swala la elimu ikifuatiwa na mikoa ya pwani pamoja na kaskazini. Kwa hiyo kile kitendawili cha mikoa gani inaongoza kwa kuwa na wasomi wengi hapa Tanzania huenda kikawa kimeteguliwa na sensa ya watu...
  3. N

    Nikimsikiliza Lusinde na Msukuma kisha nikaja kimsikiliza huyu Bashiru; naiona elimu ya juu haina maana kabisaaa!

    Hawa wawili wako real, wanaeleweka misimamo yao kitambo tu na wanaisimamia na wanaujua uhalisia mwingi wa hali halisi ya watanzania. Sijapata kumuona Msukuma akiwa kigeugeu; anaipigania bangi hadi leo. Sijapata kumuona Lusinde kigeugeu kwa viongozi wake. Nikimuangalia bashiru, naona ni mtu...
  4. Mabadiliko ya elimu Tanzania

    Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini. Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
  5. Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  6. Kuwabagua waliosoma private mikopo elimu ya juu kunaenda kuigharimu Serikali

    Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu. Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi...
  7. Afisa Elimu Msingi (W) Magu, rekebisha uongozi wa Shule ya Msingi Magu

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee, sawa; moja kwa moja kwenye Mada. DEO Msingi (W) Magu, napenda kukujulisha kwamba, uongozi wa Shule ya Msingi Magu umepwaya, kiasi kwamba mshikamano wa waalimu shuleni hapo haupo; waalimu wamegawanywa na Mwalimu Mkuu EZEKIEL NJALLA; kiasi kwamba...
  8. N

    Nyongeza ya mkopo Elimu ya Juu

    Katika kuhakikisha wanafunzi wa elimu ya juu wanatimiza ndoto zao Serikali ya Rais Samia Suluhu imekuja na Suluhu. Rais Samia Suluhu ameidhinisha nyongeza ya TZS bilioni 84 kwa wanafunzi 42,000 waliokuwa na changamoto ya mikopo ya elimu ya juu, nchi nzima. Wanafunzi waliokusudiwa awali walikuwa...
  9. Sera mpya ya Elimu yasubiri idhini ya Baraza la Mawaziri

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mabadiliko makubwa kwenye elimu yanakuja. Alisema Rais Samia alitaka Wizara ya Elimu kufanya mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ilitungwa wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne. “Sera iliyopo haijatekelezwa...
  10. Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  11. U

    Wahitimu wengi wa vyuo vikuu hawana maarifa ya kufanya mabadiliko chanya kwao na kwa jamii

    Hivi kwa huu utaratibu wa vyuo vingi tulivyo navyo hapa nchini tunatarajia hawa wasomi wetu watatutoa kweli. Vyuo vingi vinatoa wahitimu wengi lakini ambao wanakosa sifa za kiusomi kwa sababu nyingi. Na hizi ndizo nilizobaini kwanza uwezo mdogo wa hao wanachuo wenyewe katika mazingira ya...
  12. Je, mfumo wetu wa elimu ni chanzo cha umasikini?

    Moja kwa moja kwenye mada!! Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu. Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
  13. C

    Mfumo wetu wa Elimu utakuwa na manufaa miaka 50 ijayo?

    Nianze kwa kusema naipongeza serikali kwa juhudi kubwa iliyoiweka katika utengenezaji was miundombinu mizuri hasa madarasa pamoja na kuweka mikopo Kwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Swali linabaki Moja je, uwekezaji huu wa serikali kwenye Elimu utawezesha vijana kuwa na fikra chanya juu ya...
  14. HESLB yafungua dirisha rufaa za mikopo Elimu ya Juu

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa viwango vya mikopo kulingana na uhitaji wao. Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB...
  15. Kama hauna Elimu usije ukathubu kujiingiza katika siasa utapoteza muda wako bure

    Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
  16. R

    Tupeane elimu ya macho katika ulimwengu huu wa Kidigitali

    Habar wakuu, Nadhani sisi wote tunatumia digital devices lakini shida ya hivi vifaa vinasababisha matatizo ya macho lakini ajabu ni kwamba wapo watu wameajiriwa kama secretary au developers muda mwingi wapo on screen na hawana miwani au matatizo ya macho, sasa najiuliza hawa wanawezaje...
  17. Huyu hapa Komediani anayetoa elimu ya Virusi vya Ebola kwa njia ya mabango barabarani

    Comedian ANTON KAMONGA ambaye amekuwa akisambaza ujumbe wake wa mada mbalimbali kwa njia ya mabango, akionesha mabango yenye kutoa elimu kuhusu Virusi vya Ebola Pia soma: Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake
  18. R

    Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

    Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo? Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
  19. Kama watoto wadogo wanaweza piga mbizi na kwenda na kasia mpaka kwenye ndege ilozama wakati wana maji wakiogopa kusogelea Je tubadili mfumo wa Elimu?

    Nimejiuliza sana juu ya hivi Kwanini lisiwepo somo la self defense Kama Ulaya mtu ajue kuogelea na kujikinga na baadhi ya majanga? Simaanishi waliopata ajali ndo waogelee namaanisha mfumo wetu wa elimu wa ku kalili mambo ya kinjekitile kichwani bila msaada wowote bora Liwepo somo la uokoaji...
  20. R

    Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

    1. Special theory of relativity 2. General theory of relativity 3. Time dilation 4. Warping of spacetime 5. Spacetime continuum 6. E=mc2 7. Gravity as bending of spacetime 8............................................... Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…