Siku ukijitambua utaelewa nilichoandika.
Afrika tumekuwa program baada ya kutawaliwa, Maendeleo yametuondolea mambo yetu ya msingi (asili yetu) pia Elimu imebadilisha kila kitu chetu.
Mfano mdogo.. Madawa, vyakula, imani n.k.
Technology.
Aliyeleta technology, lengo lake apate pesa sio...