elimu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwege2030

    Elimu ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wafanyabiashara

    ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC ~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
  2. Alloyce PR

    Chanzo ni elimu ya kurithi?

  3. Sifi Leo

    Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

    Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
  4. Alloyce PR

    Elimu ya kurithi ilivyoua uwezo wetu

    “Tumesoma historia tukafundishwa kuwa asili yetu ni sokwe, na hata katika mitihani unatakiwa kukiri simulizi hilo bila kuhoji. Kwa mwelekeo huo wa kufikiri usioacha nafasi ya tafakuri huru, ungetarajia kweli kupata mvumbuzi au mgunduzi? Badala yake tunazalisha vijana wanaoamini uzungu ni kipimo...
  5. Roving Journalist

    Mkaguzi wa Polisi Kata ya Kisangura aendelea kuzifikia familia na kutoa elimu ya kukabiliana na uhalifu

    Mkaguzi wa Polisi wa Kata ya Kisangura, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameendelea kuzigusa na kuzifikia familia mbalimbali katika kata yake kwa kushiriki nao upendo kupitia utoaji wa elimu ya kukabiliana na uhalifu pamoja na msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya mahitaji ya shule...
  6. M

    Yake madhara ya ukosefu wa elimu ya fedha kabla ya kukopa

    Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya muda mrefu.Bila uelewa mzuri wa dhana za kifedha kama vile uwiano wa riba na deni kwa mapato, watu...
  7. N

    Mitandao ya Kijamii na Majukwaa ya Mtandaoni ni chachu ya ukuaji wa elimu ya Demokrasia Nchini

    Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia. Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
  8. Mzee makoti

    Elimu ya miaka hii ni changamoto

    Elimu ya miaka hii ni changamoto kwa vijana wetu, nna dogo yupo Darasa la nne ,heti madaftari kaunta Quare 2 yanatakiwa kumi na nne(14), dogo wenyewe kana umri wa miaka Tisa tu.... Umri huu na iyo mizigo mpka amalize Darasa la Saba si atakuwa na kibiyonngo? maana hapo bado chupa ya...
  9. a sinner saved by Christ

    Elimu ya Ulimwengu

    Mit 14:12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti. Mithali 21:2 Njia zote za mwanadamu huonekana sawa by kwake, bali BWANA huupima moyo. 1 Wakorintho 1:25 Maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa Mungu, kina busara kuliko hekima ya binadamu; na...
  10. MinMash

    Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

    Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo 1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote 2. Faida zao zikoje 3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
  11. Cyclopedia

    Wanawake wengi hawana Elimu ya uzazi

    Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!! Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nae siku moja niliruka nae ila kabla ya sex alinihakikishia kuwa ana kijiti cha uzazi wa mpango ila kushangaza siku ya jana sina hili wala lile naona sms inaingia anadai ana...
  12. DuaZaMama

    Wanafunzi 66,987 Wapangiwa Mikopo ya Tsh. Bilioni 215.3 na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HESLB)

    TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 66,987. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatao: Wanafunzi 43,562 wa shahada ya awali na...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Kailima: Taasisi na asasi zitoe elimu ya mpiga kura kwa weledi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na weledi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu. Kailima...
  14. Marco Seth

    Shida ya Elimu Tanzania

    We Are So Primitive Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna wakati Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri Mfano mtu anatoka anakuja kuanzisha kiwanda au kampuni Ni watu wangapi walivyokuwa wadogo walikuwa wanandoto kubwa ila...
  15. A

    KERO Wahitimu wa Desemba 2024 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) hatujapewa Vyeti wala AVN Number

    Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
  16. hamza mahundu

    Unaweza kuingia serikalini na elimu ya form 4 je muda gani unaweza kuongeza elimu yako

    Mfano umepata kazo ajira portal FORM 4. NA UNA CHET CHA DEGREE ILA HAUJAKIPANDISHA AJIRA PORTAL KUNA UWEZKANO WA KUONGEZEKA CHEO BAADA YA MUDA GANI
  17. H

    Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
  18. DodomaTZ

    Majaliwa: Elimu ya Watu Wazima ni zana ya maendeleo endelevu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia. ameongeza kuwa uzoefu duniani unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu...
  19. Dalton elijah

    Shekhe kundecha apongeza elimu ya dini katka mtaala mpya

    Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa...
  20. Mangwea1900

    GE2025 TAKUKURU wanajitahidi sana kuelimisha kuhusu rushwa ila wajumbe na wananchi mnawaangusha

    Kiukweli napenda kukiri TAKUKURU wanajitahidi sana kutoa elimu ya rushwa na miongoni mwa maneno wanayorudia ni kwamba "...mwananchi ukipokea rushwa hautakuwa na haki ya kudai maendeleo..." Cha kushangaza bado wajumbe katika vyama na wananchi wanapokea rushwa. Hii ni laana au uozo wa ubongo au...
Back
Top Bottom