elewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

    Kwema Wakuu! Siku hizi kila mwanamke anakuambia tafuta pesa, kama huna pesa hunipati, basi unakatazama kademu kenyewe unabaki kusema Shiiiii! Kimoyo moyo. Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza...
  2. Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  3. Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

    Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza kazi, sheria zingine zifuate. Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza...
  4. Mpaka hapa nashindwa Elewa Wajapan sijui waliwaza nini kwenye hizi gari

    Speed meter/Odometer inakuwa katikati kwenye dashboard. Ili iweje sasa? Mambo mengine ya hovyo tu mi naona. Kuna gari za Japan nmeona zina hiyo kitu. Leo nlikuwa na jamaa yangu kaomba nimsaidie kumfikisha Dodoma kwa gari yake sababu nami nlikuwa naelekea huko. Nikamwambia hamna shida kwa kuwa...
  5. Kwenu wanaume, ukiomba namba ya simu usipopewa elewa

    Habari wana MMU, Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa. Namba umekosa unaanza kumfata mtu unalazimisha uende anakokwenda akisimama unasimama akikatisha upo na maswali kama polisi kwani lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…