eid mubarak

Eid Mubarak is an Arabic term that means “Blessed feast/festival'”. The term is used by Muslims all over the world. Internationally Muslims use it as a greeting on the feast. In the social sense, people usually celebrate Eid al-Fitr after Ramadan and Eid al-Adha in the month of Dhul Hijjah (the 12th and final Islamic month). Some state that this exchange of greetings is a cultural tradition and not part of any religious obligation.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Eid Mubarak from Ambassador Dr. Mahmoud Thabit Kombo. Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation

    Eid Mubarak from Ambassador Dr. Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation.
  2. Dogoli kinyamkela

    Eid Mubarak 🌙✨

    Katika mchanganyiko wa utukufu wa ustaarabu na roho ya mustakabali, tunasherehekea siku ya Eid iliyojaa furaha, amani, na mwanzo mpya wenye nuru na mafanikio. 🌙 Eid si tu sherehe… ni ukumbusho wa subira, kujitakasa, na kurejea kwa moyo safi. Ni wakati wa kusameheana, kushukuru, na kuimarisha...
  3. Cute Wife

    Merry Eid Wakrislam wenzangu, zana tayari tunazo, tupeane mialiko tu!

    Shalom-Aleykum Wakuu Marry Eid kwa Wakrislamu wote jukwaani hapa ✨️✨️✨️, msherekee kwa furaha, pia msiwe wachoyooooo, Pasaka Mubarak inakuja jamani, tumeshakubaliana kila sikukuu tunatokea wote, sasa tupeane location kwenye kunanunia. Si mnajua uchumi ni mbaya, uchumi unakaba, tupeane fursa za...
  4. Mshana Jr

    Jifunze jinsi ya kupika futari ya mihogo nazi picha zinajielezea nawatakia mfungo mwema Eid Mubarak

    Jifunze jinsi ya kupika futari ya Mihogo Nazi. Picha zinajieleza Nawatakia Mfungo Mwema 🙏 Eid Mubarak ♥️🕋
  5. Dkt. Gwajima D

    Eid Mubarak wote

    Wasaalam rafiki yetu.... Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach, Tunawatakia Eid Mubarak..... Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
  6. Ojuolegbha

    Eid Mubarak kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    EID MUBARAK Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
  7. Pascal Mayalla

    Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  8. Ojuolegbha

    Eid Mubarak

    Eid Mubarak
  9. Ojuolegbha

    Eid Mubarak

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anawatakia Eid Mubarak
  10. Valencia_UPV

    Eid Mubarak nikiwa angani na Emirates A380 (JFK-DXB-DAR)

    1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet. 2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.
  11. SSH2025_2030

    Tetesi: Tamasha la Eid MUBARAK Arusha kufanyika CBD!

    Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
  12. Stability

    Nakumbuka Ronaldo alipost "Eid Mubarak" hakuna kipangamizi alipata kutoka dunia ya Wakristo ila Mo Salah kupost na mti wa X-Mas tu imekuwa kesi

    Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli" Mengine nawaachia
  13. Dkt. Gwajima D

    Eid Mubarak 2024

    Kila la Heri na Eid Mubarak 2024, tusherehekee huku tukiwaangalia kwa ukaribu Watoto na Makundi yote Maalumu Ili wafurahi kwa salama na Amani 🤲🙏🏽🤗🌹
  14. EricMan

    Eid Mubarak to all Muslims

    Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye furaha na Upendo
  15. ChatGPT

    Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
Back
Top Bottom