edwin mtei

The Minister of Finance is the head of the Ministry of Finance and Economic Affairs of the Government of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mazishi ya mzee Edwin Mtei

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
  2. Mazishi ya hayati Mzee Edwin Mtei, Muasisi wa Chadema, Januari 24, 2026

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha Elisa Mungure, Mzee Mtei alituasa haki inatangulia ndipo amani inafuata Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha Elisa Mungure amesema kuwa enzi za uhai wake, Hayati Edwin Mtei aliwausia kuwa “haki inatangulia, amani inafuata,” na hivyo kuendelea kuwa dira ya...
  3. R

    Godfrey Lema: Mzee Edwin Mtei hakuanzisha Chadema kupata madaraka, bali haki na heshima na utu wa watanzania

    CHADEMA Arusha. Kuna nyakati historia huwaita watu wake si kwa maneno, bali kwa dhamira. Jumamosi tarehe 24/01/2026, Tengeru Arusha haitakuwa tu mahali pa mazishi ya Mzee Edwin Mtei, itakuwa mahali pa kuhoji dhamiri zetu kama wanachama wa CHADEMA. Mzee Mtei na wenzake hawakuanzisha CHADEMA kwa...
  4. Mwili wa Mzee Edwin Mtei kuwasili nyumbani kwake Tengeru jioni ya leo Januari 23, 2026

    Mwili wa Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mzee Edwin Mtei (94), unatarajiwa kuwasili nyumbani kwake Tengeru, nje kidogo ya Jiji la Arusha, leo saa 11:00 jioni. Shughuli za mapokezi ya mwili huo, zitaongozwa na Makamu...
  5. Lissu aruhusiwe kuhudhuria msiba wa Edwin Mtei, mwanzilishi wa CHADEMA

    Kwa sababu mpaka sasa Tundu Lissu sio mfungwa bali wanaomshikilia inaonekana wameamua kumfanya mahabusu wa kudumu ndani ya magereza itakuwa vizuri wampeleke akamzike Edwin Mtei mwanzilishi wa chama chake cha CHADEMA ambacho kwa sasa yeye ni mwenyekiti wake.
  6. Rais Samia kuongoza protokali ya mazishi ya muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei

    Inasemekana Mbowe kama msemaji wa familia amemualika Rais Samia kuongeza protokali za mazishi ya Mzee Mtei Licha ya kuwepo mvutano wa Serikali na Chadema katika mambo mengi, lakini Mbowe bila kuwashirikisha Chadema amefanya mualiko huo 1. Lissu Mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani karibia...
  7. Hilda Newton: Nimepata taarifa Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA msiba wa Mzee Mtei, anataka kumualika Samia

    Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku ya Mazishi ambapo CHADEMA itapewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi saa tatu...
  8. Q

    Lissu atuma ujumbe maalum kwa heshima ya mwasisi wa CHADEMA Edwin Mtei

    Ujumbe huo unatarajiwa kusomwa wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mtei tarehe 23 Januari 2026, kabla ya mazishi yake tarehe 24 Januari nyumbani kwake Tengeru, Arusha. ==== UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA TUNDU LISSU KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN ISAAC MBILIEWI MTEI. EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI...
  9. John Heche: CHADEMA waahidi kujenga chuo kumuenzi hayati Edwin Mtei

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Makamu Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa John Heche, kimezungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama wa chama hicho, na kueleza masikitiko makubwa kufuatia kifo cha Hayati Edwin Mtei, Mwasisi wa CHADEMA. Akizungumza katika mkutano...
  10. Usaliti haujaanzia kwa ZZK: Jinsi Edwin Mtei alivyosalitiwa na Mrema na NCCR Mageuzi

    Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha...
  11. R

    Mbowe awasili Msibani kwa Mzee Mtei

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewasili muda huu katika msiba nyumbani kwa marehemu Edwin Mtei, aliyefariki dunia Januari 19. Mtei alikuwa ni mwasisi wa CHADEMA pamoja na mwenyekiti wa kwanza wa chama hicho. Kufuatia kifo chake, CHADEMA...
  12. B

    TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

    Wakuu, Heche kupitia mtandaoni ametangaza kifo cha mwasisi wa chama chao CHADEMA, Mzee Edwin Mtei baada ya familia kuthibitisha huku mipango ya mazishi ikiendelea nyumbani kwake Tengeru, Arusha. ===== Baadhi ya mambo muhimu kuhusu Ediwin Mtei ambayo pengine ulikuwa hufahamu Elimu,"Shahada...
  13. J

    PreGE2025 Heche amtembelea muasisi wa Chadema, Mzee Ewdin Mtei

    Muasisi wa Chadema mh Mtei ameupongeza Uongozi mpya wa Chadema Chini ya Tundu Lisu na John Heche Mtei amesema hayo Wakati wa mazungumzo yake na makamu Mwenyekiti wa Chadema mh John Heche na Viongozi Wengine Mzee Mtei amesisitiza hii ndio Chadema iliyo moyoni mwake na ana Imani kubwa na Tundu...
  14. D

    Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

    Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na...
  15. J

    Kwa sasa ni vigumu kuwapata watu aina ya Edwin Mtei ndani ya CCM, wenye uwezo wa kuwashauri kwa kuwasahihisha Viongozi wa Juu

    Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe. Alhamis Ubarikiwe Sana!
  16. Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo Jumatatu ya tarehe 21/03/2022, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amemtembelea muasisi wa Chadema Edwin Mtei, nyumbani kwake huko Tengeru, Mkoani Arusha. Mbowe ametumia wasaa huo kumpa Pole Mzee Mtei kwa kufiwa na Mke wake aliyeitwa Johari, Ambaye alifariki...
  17. Salamu za Rambirambi za Freeman Mbowe kutoka Gerezani zasomwa Kwenye msiba wa Mkwe wake, waombolezaji wabubujikwa na machozi

    Freeman Mbowe aliyeko gerezani kwa tuhuma za uongo amepoteza Mama Mkwe ambaye ni mke wa Mzee Edwin Mtei, hata hivyo hakukata tamaa, amefanikiwa kutuma salamu zake za rambirambi kupitia kwa mwakilishi wake ambapo ameonyesha masikitiko yake makubwa sana kwa kuondokewa na MZAA CHEMA katika kipindi...
  18. Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

    Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam Mungu ibariki Chadema
  19. J

    TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei. Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei. RIP mama Mtei
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…