Edward Ngoyai Lowassa (26 August 1953 – 10 February 2024) was a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania[2] from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete.[3] Lowassa went into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania.[4][5] Following his resignation President Kikwete was obliged to dissolve his cabinet as required by the Constitution and with minimum delay, constituted a new one under a new Prime Minister, Mizengo Pinda.
Katika historia ya siasa za Tanzania, si kila anguko la mwanasiasa husababishwa na kushindwa uchaguzi. Mara nyingi, migogoro ya ndani ya chama, tofauti za kiitikadi au ukosoaji wa mamlaka huwa mwanzo wa kupungua kwa ushawishi wa kisiasa. Wapo waliowahi kuwa na nguvu kubwa jukwaani, lakini...
Wanasema kaa kimya kuficha ujinga wako ila kwa hawa masheikh naona wameamua kuanika ujinga wao,
Wanasema kwamba wakatoliki wanataka nafasi zote kubwa Serikalini ndio maana walimfanyia figisu Lowassa kwasababu hakuwa mkatoliki hadi akatema bungo uwaziri mkuu.
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza hivi hiki kilikuwa ni kikao cha nini na cha ajenda gani , wakati gani ,wapi na mwaka gani ambapo Mheshimiwa Hayati Edward Lowassa aliwakusanya na kuzungukwa na hawa waheshimiwa?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka...
Kwa watu wanolewa Universe inavyofanya Kazi , wanaelewa kuwa universe huzungumza kupitia sauti za watu wasiofahamiana vyema.
Mfano ukiona MTU hakujui wala wewe haumjui Ila ukaa nae akasema kuwa wewe unafaa kuwa kiongozi.
Endapo utakutana na watu Kama hao mara kwa Mara ujue wewe ni kiongozi...
Ndugu zangu Watanzania,
Duniani Muogope Sana Mwenyezi Mungu pamoja na Teknolojia.
Hali imekuwa tete kwa CHADEMA,hali imekuwa mbaya,hali imekuwa ya kukatisha tamaa ,hali imekuwa siyo hali,hali inawanyong'onyesha viongozi wa CHADEMA na wanachama wote kwa ujumla wake.
Ambapo sasa baada ya...
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
Huyu jamaa ni waziri wa wizara nyeti ya fedha ila anafanya mambo ambayo hayaeleweki kabisa kwenye hizi mbio za kwenda ikulu mwaka 2030.
Mara aage jimboni kuwa hatagombea tena mwaka 2030 bali anafikiria nafasi ya juu zaidi na anaweka na mrithi kabisa. Mara wachezaji wa timu yake B wapewe uraia...
Kwanza nikiri, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania, nilikuwa tu shabiki wa chama hiki (CHADEMA) lakini nilivunjwa moyo baada ya Hayati Lowassa kupokelewa na kujiunga na chama hiki.
Kitendo hicho kilinikwaza sana nikaamua kubaki neutral coz niliona kama viongozi wa chama ni...
Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini?
Soma
Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond
Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha...
Wakuu
Tundu Lissu amesema Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa hayati Edward Lowassa kwenda CHADEMA
Soma: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
"Dkt. Slaa ndiye aliyemleta Edward Lowassa CHADEMA, ndiye aliyeanzisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote majadiliano za CHADEMA...
Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
Habari JF , sakata la Mwenyekiti Mbowe vs Mchungaji msigwa linaturudisha Nyuma sana.
Kipindi Mzee lowassa-RIP anasemwa vibaya kila kona na kuchafuliwa lakini mwisho wa Siku alikuja kuwa mgombea wa chama cha CHADEMA.
nadhani kinachofanywa na Mwenyekiti ni kutokomaa kisiasa
Je na familia ya...
ASILI YA UGOMVI WA EDWARD LOWASSA NA SAMUEL SITTA
MWAKA 1995, ilianza misheni ya kumshawishi Dk Salim Ahmed Salim, aachane na ukatibu mkuu wa OAU, arejee kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM.
Misheni hiyo ilipofeli, wazee, Mwalimu Nyerere na Mzee Rukhsa, walimketisha Jakaya...
Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini kutokana na michango yao bungeni.
Pia soma: CCM kuubeba msiba wa Lowassa bila kumuomba kwanza msamaha...
Wadau salaam! Nimeota ndoto usiku. Nimewaota waliokuwa mahasimu wakubwa katika siasa Hayati Edward Lowassa na Hayati Samwel Sitta.
Ndoto yenyewe iko hivi:- Hayati Samwel Sitta alikuwa amealikwa katika harambee kanisani. Na yeye akamualika Edward Lowassa. Wakiwa kanisani, Lowassa akapewa mic...
Wasalaam wanabodi..
Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya uongozi na siasa kupitia role models wao. Kwa sasa tunae Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye aina ya siasa na...
Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?
Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?
Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.
Lakini Inawezekana pia mfumo...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_
Waombolezaji wametoa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024.
Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile Mwakyembe na kusema kuwa kama watu hawaridhiki waombe kanuni zitenguliwe ili aweze kuwasilisha upya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.