ebola

  1. JamiiForums Tanzania Serikalil: Hakuna mgonjwa wa Ebola nchini

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa mmoja vipimo vya maabara kuthibitisha kuwa anaugua ugonjwa huo katika...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza udhibiti wa Ebola mipakani

    Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda jana usiingie nchini. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ebola Yazuka Uganda: tujiandae kwa chanjo?

    Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kuzuka kwa Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) nchini humo baada ya kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Ngabano wilayani Mubende kufariki dunia huku vipimo vikionyesha alikuwa na dalili za Ugonjwa huo. Chanzo: ITV
  5. JamiiForums Tanzania Uganda yathibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola

    Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Congo DR yatangaza Ebola kurejea tena nchini humo

    Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini. Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
  7. JamiiForums Tanzania Congo DR kuchunguza mgonjwa anayehofiwa kufariki kwa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mamlaka za Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeanza uchunguzi ili kubaini sababu za kifo cha mwanamke kutoka mji wa Beni anayedhaniwa kufariki kwa ugonjwa wa Ebola. Mji wa Beni ni moja ya vituo vikuu vya mlipuko wa Ebola ambapo tangu mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania DRC yaanza kutoa chanjo ya Ebola baada ya wawili kufariki, 230 wakiambukizwa

    Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika siku zijazo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki kwa ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO)...
  9. JamiiForums Tanzania DRC: Mgonjwa wa pili wa Ebola afariki dunia

    Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC. Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko mpya wa ugonjwa huo kutokea DRC. WHO imesema uchunguzi wa vinasaba ulionesha maambukizo mapya...
  10. JamiiForums Tanzania DR Congo yaripoti visa nane vya Ebola

    Maafisa wa Afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamethibitisha Visa vipya nane vya Ebola katika Jimbo la Kivu Kaskazini, ikiashiria Mlipuko mpya katika Taifa hilo Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ya Visa hivyo, waliofariki dunia ni sita. Mlipuko uliopita ambao uligharimu...
  11. JamiiForums Tanzania DR Congo: Kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya Ebola yaanza

    Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa. Watumishi wa Afya wanawafuatilia watu zaidi ya 170 na Dozi 200 za Chanjo tayari zimetumwa katika Mji wa Beni ambapo Mtoto...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa kipya cha Ebola charipotiwa DR Congo

    Waziri wa Afya, Jean Jacques Mbungani amethibitisha kisa kimoja cha Ebola Mashariki mwa Taifa hilo, ikiwa ni miezi 5 baada ya mlipuko wa hivi karibuni kuisha Bado haijafahamika ikiwa kisa hicho kinahusiana na mlipuko wa 2018 - 2020 ambao ulipelekea vifo vya watu zaidi ya 2,200 Mtoto wa miaka 3...
  13. JamiiForums Tanzania DRC yatangaza tena maambukizi mapya ya Ebola

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika jimbo la Kivu Kaskazini hapo siku ya Jumapili baada ya mwanamke mmoja kufariki kwa ugonjwa huo, ikiwa ni miezi mitatu tu tangu mamlaka ya afya kutangaza kuwa mlipuko wa awali wa ugonjwa huo ulikuwa umedhibitiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ebola yaibuka DRC huku wakipambana na Corona na vita baina yao

    DRC ni kama wana gubu, yaani kisirani fulani hivi, corona inawatesa, hawajatulia Ebola imewakondolea macho tena halafu walivyo wa ajabu bado wanapigana licha ya mahangaiko hayo.... ====== Five people, including a 15-year-old girl, have died of Ebola in a fresh outbreak of the virus in the...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha kuanza kutumia dawa ya Ebola kuwatibu wenye CoronaVirus

    MAMLAKA ya Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya ebola ‘remdesivir’ itumike kutibu wagonjwa wenye virusi vya corona. Ruhusa ya kutumika kwa dawa hiyo kwa sasa imetolewa kwa watu waliolazwa hospitalini tu kwa ugonjwa wa homa ya mapafu Covid-19. Jaribio la...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

    Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema...
  17. JamiiForums Tanzania Mila na desturi zakwamisha mapambano dhidi ya Ebola DRC

    Mila na desturi zinatajwa kuwa miongoni mwa changamoto katika shughuli za kupambana na ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Utamaduni ambao wananchi wameuzoea umekuwa ukirudisha nyuma jitihada mbalimbali za kujikinga na maambukizi. Jinsi shughuli za...
  18. JamiiForums Tanzania Rwanda yaanza kampeni ya kutoa chanjo dhidi ya Ebola

    Serikali ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zimezindua kampeni ya pamoja ya kutoa chanjo ya homa ya Ebola. Chanjo hiyo ilianza kutolewa jana mjini Rubavu nchini Rwanda. Hayo yanajiri wakati ambapo shirika la madaktari wasio na mpaka wiki iliyopita likitangaza kuondoka kwenye jimbo la...
  19. JamiiForums Tanzania Wapemba kupimwa Ebola ni aina ya Uzayuni

    Wiki iliyopita nilipata ugeni wa ndugu yangu kutoka Pemba aliyeamua kutumia meli ya Azam inayotia nanga Tanga.Katika mazungumzo yetu alisema kila kitu katika safari kilikuwa shuwari lakini adha kubwa waliyoipata ni wakati wa kuteremka.Kwani lango kubwa la meli halikufunguliwa badala yake abiria...
  20. JamiiForums Tanzania Shambulizi kwenye kituo cha Ebola DRC laua wafanyakazi 4 na kujeruhi 5

    Shirika la afya duniani (WHO) limesema mashambulizi mawili yaliyotokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya wafanyakazi wanne wanaoshughulikia mlipuko wa Ebola nchini humo na wengine watano wamejeruhiwa. WHO imesema mashambulizi hayo yalitokea usiku kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…