DR Congo yaripoti visa nane vya Ebola

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Maafisa wa Afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamethibitisha Visa vipya nane vya Ebola katika Jimbo la Kivu Kaskazini, ikiashiria Mlipuko mpya katika Taifa hilo

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ya Visa hivyo, waliofariki dunia ni sita. Mlipuko uliopita ambao uligharimu maisha ya watu 2,287 tangu Agosti 2018 ulitangazwa kuisha Juni 2020

=====

Health officials in the Democratic Republic of Congo have confirmed eight new Ebola virus cases in North Kivu province, the World Health Organization (WHO) said on Wednesday.

This marks a new outbreak in the country.

Of the eight cases, there have been six fatalities, the WHO's regional office for Africa said on its Twitter account.

Some 573 people who had been exposed to the virus have been identified.

The WHO tweeted an update;



The country has had a resurgence of the virus cases this year.

A previous Ebola outbreak in DR Congo was declared over in June 2020.

It had claimed the lives of 2,287 people since August 2018.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom