Mwanasiasa wa chama tawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Marie-Celestin Karondwa, amepigwa hadi kufariki dunia baada ya kushiriki kipindi cha redio kilicholenga kutoa elimu kuhusu Ebola. Tukio hilo lilitokea Jumapili, Septemba 27, 2026, Mjini Butembo, Mkoa wa Kivu Kaskazini...