bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,552
- 2,936
America please msituache tuangamie na Ebola, Ewe rais Donald Trump fanya zaidi ya kile alichofanya Obama mwaka 2014 alipoudhibiti mlipuko wa Ebola huko Liberia. Sisi bado ni watoto kwenu ata kama tumepishana kauli bado tunakumbuka hisani zenu, mlitutoa Utumwani, mkatufungulia dunia kwa utandawazi, mkatusaidia kupambana na HIV, na Mbu pia.
Tafadhali sana ni ujinga wetu tu, ata mtoto akiiba haukati mkono. Kipindi cha Obama Wanajeshi 3000 walitua liberia wakajenga vituo vya afya, wakatoa na mafunzo jinsi ya kukabiliana, mlishusha mzigo zaidi ya tani 400 wa vifaa kukabiliana na Ebola. na bajeti ikatengwa ya mabilion.
Tuna shida nyingi huko somalia raia wanakula mchanga sababu ya njaa, hayo mabom ya kurusha kwa mkono yabadilini yawe vitumbua mje mtuokoe. hizo neti za kukamatia Drone njoeni mtupatie vyandarua na Hamvee mtupatie tutumie kama ambulance.
Irani sio adui adui wa kweli yupo Kongo mjieni msafishe.