Ukipitia ukurasa wa Instagram wa mwanamama bi Mange Kimambi utaona kuna taarifa kuhusu kampuni ya ITEL EAST AFRICA LTD. Japokuwa kampuni hii imesajiliwa kama kampuni ya kufanya mambo ya biashara za simu lakini inaonekana ndio mwagizaji wa sukari nchini.
Sasa kulingana na database ya global...
The struggle continues...
Our fourth week will resume with Bunyoro sub-region on Monday and close with Lango on Saturday. The revolutionary train is still on track to advance the message of the #ProtestVoteUg2026
#PeoplePowerOurPower
#ANewUgandaNow #FreeUgandaNow #M7Mustgo
!!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!!
_______________________
JE, UKO TAYARI Dokezo!
Ujumbe kwa nafsi yako βπΏ
Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano.
Siku zote...
JE, UKO TAYARI Dokezo!
Ujumbe kwa nafsi yako βπΏ
Jinsi polisi wanavyocheza kadi za vitisho na kuweka woga!
_______________________
_______________________
Sote tunajua kuwa polisi wana idadi ndogo sana ikilinganishwa na idadi ya watu nchini
Kwa hivyo wanatumia mbinu kuonyesha uwepo na...
Leo Maria Spaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Motisha na Ujasiri utatoka wapi?
Utekaji umekithiri na itazidi kuongeza, watu wanasambaratishwa hata kukaa kijiweni ni shida! Je tutoa wapi motisha na kushinda hofu kuelekea Oktoba 29!
Njoo toa maoni!
Leo saa 2 uck
The revolutionary train finally sealed the day with a rally in Mubende despite the numerous barricades that we encountered along the way to our originally planned venue.
We were yet again forced to take a last minute venue far away from Mubende municipality where we had originally planned to...
Thank you Kassanda and Mubende Districts. Just like yesterday in Mityana, there have been illegal attempts by the military and police to block us from attending our rally in Mubende this afternoon BUT WE RESISTED AND DEFEATED THEM! #ProtestVote2026 #AnewUgandaNow
It was Massive ππ
Thanks...
Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi,
Rich msafi amebaki kama msindikizaji
Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
πΉπΏ Tanzania
Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977:
Sifa za kuwa Mbunge ni:
1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini.
2. Awe na umri usiopungua miaka 21.
3. Awe anayejua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza.
4...
Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo yatakayofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 hadi 8 August 2025! ππΉπΏ
π Mpigie kura kwa hatua hizi mbili:
β ...
Sasa mbona MAUAJI yanazidi sana NCHINI na EAST AFRICA KWA UJUMLA, Hawa majambazi wanazipata wapi ?hizi silaha, ?
Wanazikodi kutoka kwa mapolisi/wanajeshi walarushwa ?
Hebu shusha maoni yako .....
Tundu Lissu ni mjumbe wa Mungu kuja kufanya jambo moja tu Tanzania nalo ni kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya inayoweka mamlaka kweli kwa Wananchi na kujenga Mifumo imara ya kuwawajibisha Watendaji na Viongozi wanapokiuka Katiba na Sheria.
Kwa alipo Tundu Lissu sasa, lolote mtakalojaribu...
#HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu.
Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Tulionekana illterates, un-informed and less-modern.
Kazi zetu walipewa wao kwa maana wao walionekana superior zaidi kuzidi sisi. Wabongo wengi pia walitapeliwa sana na majirani walipofanya nao mishe kwa maana watu walikuwa bogus miaka ya 2000s kurudi nyuma.
Sasa hivi tunawakimbiza kiasi...
Niko hapa nasikiliza Planet bongo ya East Africa radio ambayo inaruka kutoka Tumaini university.
Huyu mtangazaji aitwaye February amefanya kitu cha ovyo kabisa leo, wakati anamhoji amemuuliza dogo mmoja jina dogo akamwambia mimi ni mhadzabe February akasena "wale wanaokula vitu vichafu...