duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza] Mauli day id El Hajji[siku mbili] Mapinduzi Uhuru ZIJAZO 1. Magufuli Day. 2. Mama Day SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
  2. JamiiForums Tanzania Haymarket affair au Haymarket Massacre ilivyogeuka Kuwa Mei Mosi na Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Historia Ya Mei mosi)

    SOLIDARITY! Mei Mosi, au Siku ya Wafanyakazi Duniani, ilianza kama harakati ya kutetea haki za wafanyakazi katika karne ya 19. Mnamo mwaka 1886, maandamano ya wafanyakazi nchini Marekani yalifanyika kudai saa za kazi zisizozidi masaa 8 kwa siku. Tukio hili linajulikana kama "Haymarket affair"...
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yafunguliwa kwa mazoezi ya kukimbia

    Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi. Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ipi faida ya mwanadamu hapa duniani?

    Habari wanadamu Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni? Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti zinavyoonesha. Je, nini faida ya watu kuongezeka na hasara zake na ipi faida ya watu kupungua na hasara...
  5. JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  6. JamiiForums Tanzania Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

    Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

    Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO.. Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza. Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Dinari Kuwaiti: Ndio Sarafu Imara Duniani na Njia Tanzania Inaweza kufuata ili Kuifikia

    Dinari ya Kuwait (KWD) ndio sarafu yenye nguvu zaidi duniani. Lakini ni nini hasa kinachoifanya kuwa imara, na je, Tanzania inaweza kujifunza nini kutoka kwa mafanikio ya Kuwait? Wacha tuchunguze sababu za nguvu ya dinari na kuchunguza njia zinazowezekana za ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Nguvu...
  9. JamiiForums Tanzania SIPRI: Matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7 kwa mwaka 2023

    Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama SIPRI, imesema matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7, ikiwa ni sawa na dola trilioni 2.43 kwa mwaka 2023 Taasisi hiyo ya SIPRI iliyoko mjini Stockholm, Sweden, imesema ongezeko hilo la asilimia 7 ni kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tambua udongo uliopo hapa duniani

    Udongo au ardhi inayoundwa na mchanganyiko wa chembechembe za mawe zilizovunjika, viumbehai, mbolea kikaboni, maji, hewa, na vitu vingine vingi. Udongo ni sehemu muhimu sana ya mazingira ya ardhi na ina jukumu kubwa katika kudumisha uhai duniani. Asilimia ya vipengele tofauti katika udongo...
  11. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume duniani ni kubwa zaidi kuliko ya wanawake

    Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake. Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake. Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waafrika waliopo kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi duniani

    Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama biashara , Sanaa, michezo, muziki na nyingine nyingi. Wafahamu baadhi ya waafrika waliopo kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Sekta 10 bora duniani zinazoendesha uchumi.

    unahitaji kufahamu sekta kubwa zaidi duniani. Itakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu mahali pa kuwekeza pesa zako. Inasaidia pia kujua ni viwanda gani vinakua na ambavyo vinatatizika. 1. Sekta ya Utengenezaji(manufacturing industry) Sekta ya utengenezaji ni moja ya tasnia kongwe zaidi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
  15. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Wiki ya Maandamano yatakayofanyika Duniani kote yakamilika

    Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika Ndani na Nje ya Nchi , Chadema HQ na Chadema Diaspora , zinaeleza kwamba Maandalizi ya yale Maandamano kabambe ya amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania Yamekamilika . Taarifa zingine zinaeleza kwamba Wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Jeriko Palestine mji mkongwe zaidi duniani

    1. JERICHO -PALESTINE Baadhi ya wataalamu hudai kuwa huu ndio mji mkongwe zaid duniani...mji huu ulikuwepo zaidi ya miaka 6800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Wataalamu wanasema kuwa hapo awali watu waliishi kwa kuhamahama kwahyo mji wa Jericho ndio ulikuwa wa kwanza duniani kwa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Taifa lolote duniani lenye Rais anayeogopa kujipambania lina hasara kubwa

    Taifa lolote duniani lenye Rais ambaye anayeogopa kupambana yeye kama yeye na maadui zake na anatumia watu kumpambania jua lina hasara naye kubwa mno. Jikite zaidi katika Neno 'Taifa Lolote Duniani' sasa eewe njoo na Hisia zako za 'Kuwashwawashwa' kwa Umpendae Hasira zangu nyingi za Simba SC...
  18. JamiiForums Tanzania Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

    Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
  19. JamiiForums Tanzania Aprili 12 ni Siku ya Watoto Waishio Mitaani Duniani

    Salaam nyingi za za upendo kwenu wote. Aprili 12, kila mwaka ni Siku ya Mtoto wa Mtaani Duniani. Kaulimbiu Mwaka huu ni ‘TUWAJIBIKE’. Uwajibikaji uanze ngazi ya familia kwa wazazi/ walezi kutimiza jukumu la kulea. Sheria ya Mtoto Sura ya 13 kifungu cha 6 – 13, kila Mlezi/ Mzazi anawajibika...
  20. JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…