duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Top 10 ya magari yaliyouzwa sana Duniani 2024 (hadi sasa Nov), China ameingiza makampuni mawili!

    Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu. Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10. Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tusisingizie Ukoloni, Waafrika tunafeli wapi, tunashindwa vipi kuwa na nchi hata moja ya kutuwakilisha kwenye nchi 50 zenye maendeleo duniani?

    Kama ni ukoloni nchi nyingi sana zilikuwa colonised ila leo zipo mbali Navyosema nchi zilizioendelea ni watu kwa ujumla kujiweza kiuchumi kuweza kuishi maisha standard, kuwepo kwa huduma za kijamii, elimu inayosaidia jamii, amani, n.k. Kwa hapa Africa imekuwa ngumu sana, Kuna matajiri lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  6. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Wanaume Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa kijinsia. Madhumuni makuu ya siku hii ni pamoja na: 1. Afya ya Wanaume: Kuhamasisha ufahamu juu ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto Njiti Duniani

    Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito kukamilika Mtoto mmoja kati ya kila Watoto 10 huzaliwa Njiti na kila mtoto anayezaliwa chini ya uzito wa...
  8. JamiiForums Tanzania Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

    Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  10. JamiiForums Tanzania 🩸 Novemba 14, 2024 Siku ya Kisukari Duniani

    Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini vizuri kama unavyopaswa. Dalili za kisukari ni pamoja na: 🚰 Kuhisi kiu kupita kiasi 🚽 Kuenda...
  11. JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

    Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
  12. JamiiForums Tanzania STATUS ya makocha bora duniani

    Nini kimekushanga?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda. Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi. Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

    Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya tatu ya dunia waafrika tumejisahau sana ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race...
  15. JamiiForums Tanzania Inakuaje Marekani ikiwa kinara wa kudai wanawake Duniani haswa Africa wapewe nafasi za uongozi na kuweka kama kigezo Cha misaada ila wao hawako tayari

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad. Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Egonga yapo duniani kote sema ni siri tu! Ila watu wengi sana wanatafunana maofisini kimya kimya

    Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya! Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe! Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza...
  17. JamiiForums Tanzania Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

    Habari wakuu! Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa. Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito...
  18. JamiiForums Tanzania Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi,

    Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi, Kutoka kwenye unyanyaswa kijisia, kuwa mwizi, kuingia jela na hadi kuwa mbunge kutetea wanawake nchini india. Anakumbukwa kwa famous qoute inayosema. "If there were justice in the world, I would have been a nobody" Na hii ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa USA Dollar ulivyoanza kutumika Duniani, na Kupelekea Dunia Kuchezeshwa DECI (Ponzi Scheme)

    Utangulizi: Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya...
  20. JamiiForums Tanzania Armageddon: Nuclear Winter - Matokeo ya vita vya nuclear na Mwisho wa mwanadamu kuishi duniani

    Utangulizi Za leo wana JF. Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli. Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii. Leo nitaongelea kuhusu Mabomu ya nuclear na matokeo ya Neclear Winter na mwisho wa binadamu kuishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…