duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  2. JamiiForums Tanzania Utawala hatari na wenye nguvu duniani

    Salaam zenu wanaJF, Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru Unajua kwasabb gani? 1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru 2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala...
  3. JamiiForums Tanzania Makundi Hatari Zaidi ya Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani

    Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya umma, usalama, na utawala. Haya ni baadhi ya makundi maarufu zaidi: 1. Sinaloa Cartel (Mexico)...
  4. JamiiForums Tanzania Ifahamu organization ya "Muslim Brotherhood" inayopigwa marufuku maeneo mbalimbali duniani ikiwemo baadhi ya nchi za Kiarabu

    Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa. Itikadi zao zimezijenga vikundi vya kigaidi vingi duniania ikiwemo hamas na al-qaeda. Mataifa kama Saudi Arabia, Umoja wa...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka ya 1980s hadi 1990s, ndiyo ilikuwa golden Era ya mapinduzi ya burudani duniani.

    Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada. Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu wa burudani ambapo ilikuwa ni zama ya aina yake . Walioishi hiki kipindi wanaweza kubaliana nami...
  6. JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  7. JamiiForums Tanzania Asilimia 2.07% ya waarabu wameshinda tuzo ya Nobel Duniani toka mwaka 1901 mpaka 2025. Pongezi kubwa kwao

    Hadi mwaka 2024, zaidi ya Waarabu 20 wamepokea Tuzo ya Nobel katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amani, fasihi, na sayansi. Hii ni idadi ndogo ikilinganishwa na Wayahudi, ambao wamepokea zaidi ya tuzo 200, licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu duniani. Washindi Mashuhuri wa Tuzo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2025 Kawe

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'. Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
  9. JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Moisi' 2025

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
  10. JamiiForums Tanzania Mei Mosi (labor day) ndo ilitakiwa iwe siku ya wajinga duniani

    Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali Badala ya kulalamikia 2. Watumishi wamepewa Fulani na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DINI INAYOONGOZA KWA MAUJI YA WATU WENGI DUNIANI NI UKRISTO, DATA HIZO HAPO

    📊 MAKADIRIO YA VIFO VYA VITA KWA KUZINGATIA DINI ZA KITAIFA (Nchi zenye Wakristo wengi vs Waislamu wengi) ✅ 1. Nchi zenye Wakristo WENGI (Christian-majority countries): Vita vikubwa vilivyotokea kutoka nchi hizi ni: WWI (1914–1918) WWII (1939–1945) Vita vya ukoloni Afrika na Asia Vita vya...
  12. JamiiForums Tanzania Usimuonee mtu wala kutesa wengine, duniani hapa tunapita

    Nimeona kijana tajiri aliyekuwa na biashara kubwa akizikwa kiurahisi kabisa baada ya kufa ghafla. Nikiwaza Ile fahari aliyokuwa nayo, nasema hapa duniani tuishi kwa upendo na unyenyekevu maana tunapita. Tujikite katika kutenda haki.
  13. S

    JamiiForums Tanzania DC Makame: Vijana tambueni sababu ya uwepo wenu duniani

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Jabiri Makame, amewataka vijana nchini kujiuliza na kutambua sababu ya uwepo wao duniani, akisisitiza umuhimu wa kila kijana kujiwekea malengo ya maana na kujiendeleza kwa bidii katika maisha. Akizungumza katika Kongamano la Uwezeshaji Vijana...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kusudi lako la kuishi duniani

    Habari Wakuu! Moja ya kitu kinachomfanya mtu aishi maisha yenye furaha ni kujua kusudi lake na  kuliishi kusudi lake. Bila shaka najua ya kuwa watu wengi hawajui kusudi lako lao la kuwepo hapa duniani. Kwakuwa mienendo ya watu wengi inakuchochewa na watu waliowazunguka. Mfano unakuta mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Neno "tutakinukisha" ndiyo tayari kimeshanuka ,media kubwa duniani mabalozi ,wawakilishi wa umoja wa mataifa! Wafadhili wote waifuatilia kesi ya lisu

    Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
  16. JamiiForums Tanzania China Yazindua Mtandao wa Kwanza wa 10G Duniani

    China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni kazi shirikishi ya Huawei na China Unicom, na unalenga kuwasilisha kasi ya upakuaji hadi 9,834 Mbps...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa lazima au kwa hiari yangu mwenyewe? Kama ni kwa hiari Itakuwaaje nikiwakataa?

    Hivi muda huo utakapowadia hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa utashi wangu au kwa lazima? Kama ni kwa utashi wangu ikitokea mimi sihitaji bikra yoyote au nahitaji mmoja tu miongoni mwa hao 72 niliokabidhiwa, hao wengine watakaobaki watakabidhiwa kwa nani kwa kuzingatia kuwa tayari kila...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Ukikaidi amri halali ya polisi lazima ushughulikiwe, hutochekewa, imo hata Marekani, duniani kote

    Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi. Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko. Sasa Chadema...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vatican ni nchi ya ajabu sana duniani. Inatakiwa iingizwe E Guinness World Records

    Hii Vatican ni nchi? Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…