duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

    Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kama tupo duniani kwenye sayari zaidi ya bilioni ndanu ya ulimwengu wa galaxy tuliyopo na zaidi ya galaxy bilioni 2.Basi kuna viumbe vipo huko

    Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee. Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari. Kama tutaweza kuwa na vyombo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naapa sitoondoka Chadema labda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani

    Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani, Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche, lakini siyo hivi vyama vya waganga...
  4. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

    Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani? Karibuni wadau tujadili.
  6. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna timu kubwa duniani kuzidi Barcelona na Liverpool natafuta fundi anaeweza kuchora nembo za hizi timu kwenye nyumba yangu

    Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mimea mitano inayolindwa zaidi Duniani Na maisha ya siri ya kujamiana kwa mimea!

    Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical Society of Namibia, mimea hii huchukua maji kutoka kwenye ukungu wa asubuhi na hivyo kustahimili...
  8. JamiiForums Tanzania SACP Ramadhani A. Mungi: Maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani yanaletwa na Vijana

    Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wanafundishwa utii, unyenyekevu na tafakuri kabla ya kunena, Wasabato hayo hayapo kila muumini anajua na aweza bishana na mchungaji wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Huku ndiyo ukweli hata kama unaumiza ila ndiyo ukweli Kanisa Katoliki lafundisha utii na unyenyekevu pamoja na tafakuri ya kina kwa waumini wake wote Hali ni tofauti na huku kwetu kila muumiini anajiona anajua na anayo mamlaka kuhoji au kumuhoji hata mchungaji wake...
  10. JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi Matajiri Duniani

    💵 Top 15 Richest World Leaders currently in office 🌍 1 🇷🇺 Vladimir Putin - $200B 2 🇰🇵 Kim Jong Un - $5B 3 🇺🇸 Donald Trump - $4.9B 4 🇨🇳 Xi Jinping - $1.5B 5 🇬🇶 Teodoro Mbasogo - $600M 6 🇦🇿 Ilham Aliyev - $500M 7 🇹🇷 Recep Erdogan - $500M 8 🇷🇼 Paul Kagame - $500M 9 🇿🇦 Cyril Ramaphosa - $450M 10 🇰🇪...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mtaro mkubwa zaidi duniani

    Mtaro wa Meli wa Stad, ambao kwa sasa unajengwa kwenye Rasi ya Stad magharibi mwa Norway, unakaribia kuwa mtaro wa kwanza kamili wa meli duniani—utendaji mkuu wa uhandisi wa kisasa. Mtaro huu wenye urefu wa kilomita 1.7 (kama maili 1.1) ambao umeundwa ili kuvuka sehemu nyembamba zaidi ya...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania CCM ni Mwanachama Hai wa 'Progressive Alliance' chama kinachotetea Ushoga Duniani.

    Tumefichwa kwa muda mrefu leo ukweli umejulikana. https://progressive-alliance.info/guiding-principles/ Who We Are: The progressive, democratic, social-democratic, socialist and labour movement is based on a common commitment to human rights and the joint pursuit of freedom, justice, social...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuzima mabadiliko ya watu wenye tamaa za madaraka imefeli badala yake imechochea mwamko mkubwa wa mabadiliko nchini na duniani kote

    Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo, uwenda pia bunge la marekani na dunia...
  15. JamiiForums Tanzania Nukuu 33 za Madikteta Maarufu Duniani: Watanzania Tunajifunza Nini?

    Adolf Hitler wa Ujerumani (1889–1945) 1. Fanya uongo kuwa mkubwa. Fanya uwe kwa lugha rahisi. Endelea kusema, na hatimaye watu wataamini.-Adolf Hitler 2. Kifo ndio suluhisho la matatizo yote. Hakuna mtu, hakuna shida.-Joseph Stalin 3. Huwezi kukimbia kwa kasi zaidi kuliko risasi-Ide Amin 4...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki kikamilifu mkutano wa mazingira duniani nchini Denmark

    TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Is it Logical kwa Mtu ambaye hana hata a,b,c's za Journalism kujifanya Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani hasa Afrika?

    Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope? Na kwanini hao hao Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) wanakubali kabisa Kufundwa na Mtu ambaye ni Mdhaifu mno Kielimu...
  19. JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

    Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

    Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…