dunia

  1. Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

    Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia. Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na...
  2. Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya BOOST ya miaka mitano yenye thamani ya Trilioni 1

    Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya miaka mitano yenye thamani zaidi ya shilingi Trioni moja,lengo kuu ikiwa ni kuhimarisha ufundishaji na ujifunzaji (BOOST)katika shule za awali na msingi. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo Juni 6,jijini Arusha, Waziri...
  3. Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  4. D

    Kwanini dunia?

    Mimi ni kijana wa miaka 21, lakini nimepitia maisha ya huzuni na msongo wa mawazo japo kwa nje naonekana mwenye furaha, historia yangu inasikitisha sana nimeamua kushare na ninyi, nilipokuwa na miaka 12 nilienda kuomba sindano ya kushonea kwa jirani kwa ajili ya kutengenezea mpira nilikua...
  5. 2014 Kombe la Soka la Dunia Pigo kubwa kwa Brazil Mafanikio makubwa kwa Mwanahabari aliyejielewa

    Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani. Video clip inajieleza.
  6. I

    Tetesi: Rais Vladimir Putin anaweza kufariki dunia ndani ya miaka mitatu

    Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama. Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link hapa chini...
  7. L

    Dunia yaingiwa na taharuki wakati maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox yakizidi kuongezeka

    Dunia ikiwa bado haijamalizana na janga la COVID-19, ambalo limeondoka na roho nyingi za watu na kukwamisha shughuli nyingi za kiuchumi, sasa kuna taharuki mpya imezuka baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza virusi vipya vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox. Monkeypox ni virusi...
  8. INAUZWA Mwanza: San LG kwa milioni 1 tu nauzia shida za dunia

    Haina shida yoyote kabisa. cc 150 gia 5. Mtaa wa Kilimo A, Igoma. Milioni 1, price fixed 0713096076
  9. Tusipomsemea Rais Samia Watanzania; dunia, miti, wanyama na viumbe vingine vitanena kwa ajili yake

    WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)! Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni: •JASIRI • MKOMAVU KI UONGOZI •HANA PAPARA • ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA...
  10. S

    Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

    Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda. Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana. Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila...
  11. Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

    ======= Rais Samia akipokea Kombe Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee, Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo limepita hapa kwetu kabla ya kwenda Qatar, Pia tunafurahoi kuwaona wageni waliokuja nalo, pia kumuona...
  12. Zifahamu athari za elimu inayofundishwa katika nchi za Dunia ya tatu kama Tanzania

    Elimu elimu elimu 😜😜😜😜 ni moja kati ya chemsha bongo kubwa ambazo Zinakumba jamii nyingi za Afrika Hadi Leo !!! Jamii zetu Zina vijana wenye talent, uwezo ,vipaji, vision na hamu ya kufanikiwa lakini Bado mfumo wa elimu unakwamisha maendeleo. Zifuatazo ni athari za elimu inayofundishwa katika...
  13. Jitihada Kubwa Bado Inahitajika Kuziba Pengo la Kijinsia katika Ajira

    Licha ya kuongezeka kwa mijadala inayohusu ukosefu wa usawa ambao wanawake wanakumbana nao katika maeneo ya kazi, bado kuna jitihada kubwa inayohitajika ili kuziba pengo la kijinsia katika ajira. Ikilinganishwa na wanaume, wanawake wana uwezekano mdogo wa kuajiriwa katika kazi zenye malipo ya...
  14. Fahamu kuhusu UGONJWA wa Monkeypoxy unao tikisa vichwa vya habari DUNIANI

    WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD. Tap the link below for more information from WHO Monkeypox .
  15. P

    Twende mbele turudi nyuma..! Urusi ndiye mtawala wa Dunia ajaye, na utawala huu utaamua utawala wa milele ambao wakaliwa na...

    Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe DANIEL 1: 31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha. 32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu...
  16. Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

    Benki ya Dunia imeipa Serikali ya Tanzania trilioni 1.2 kwaajili ya tabia nchi, barabara na viwanja vya ndege. Nadhani sasa ni muda wa kuondoa tozo au kuambiwa siku ya ukomo. Kiuchumi mkopo unakwenda kusisimua mzunguko wa fedha hasa kama sehemu kubwa ya hizi tenda yatapewa makampuni ya hapa...
  17. T

    Mataifa Manne hatari kwa usalama wa dunia

    Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia. Uwenda hujuwi ila nataka ujuwe nje ya nguvu za kijeshi kwa taifa kubwa kama marekani nyuma ya pazia kuna kitisho kikubwa cha usalama wa dunia na amani kutoka tawala nne ktk mataifa ma nne duniani. Waiati sisi tuna vaa magunia nakuowa ndoa za...
  18. Katiba, Nchi gani Dunia hii iliyowahi kubadilisha kwa hiari?

    Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
  19. N

    Kama hii ni kweli basi Injinia Hersi na yanga kutikisa dunia

    Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo. Habari za ndani ndani zinadai Kiungo mtaalamu wa PSG Idriss Gueye anatua jangwani na amekubali...
  20. N

    TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

    Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu. Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…