Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 3,816
- 8,454
NASA(National Aeronautics and Space Administration) imefanikiwa katika jaribio la kungonganisha sattelite ya DART(Double Asteroid Redirection Test) ikiwa katika mwendokasi wa mita 14,000 kwa saa, na kimondo cha Didymos(Dimorphus) chenye ukubwa wa eneo la mita 160 , na kuweza kukiyumbisha na kibadilisha muelekeo kwa muda zaidi ya nusu saa, endapo kama kingekuwa kinaelekea kuangukia katika sayari ya Dunia.
Hii hatua kubwa katika ulinzi wa sayari ya dunia endapo kama kutakuwa na tishio la kimondo kinachoelekea kuangukia sayari yetu na kusababisha maafa.
Kwa maana hiyo, taarifa za kisayansi zilizokusanywa kutokana na mafanikio haya kitasaidia kutengeneza kombora lenye uwezo mkubwa wa kuweza kugongana na kimondo na kukitoa kwenye muelekeo wa kuangukia sayari ya dunia.....(NASA)