dunia

  1. Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola. Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
  2. Mabilionea wa Dunia na Dini

    Elon Musk - Wakati akikubali kuwa mafundisho ya Kikristo ni mazuri, anasema kwamba yeye si mtu wa dini. Mark Zuckerberg - Amekuzwa katika familia ya Kiyahudi, aligeuka kuwa Atheist. Mwaka 2016 alinukuliwa akisema dini ni muhimu bila kutaja dini yake. George Soros - Anatajwa kuwa billionea...
  3. Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

    Gianni Infantino • Fatma Samoura • Arsène Wenger • Salman bin Ibrahim Al Khalifa • Alejandro Dominguez • Patrice Motsepe • Veron Omba • Augustin Senghor • Ahmed Yahaya • Seidoi Mbombo • FA Presidents in Africa Hii yooote ni kazi ya Simba SC
  4. Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kwa jitihada za kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi. Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
  5. L

    Nchi za magharibi kuilenga na kutaka kudhoofisha BRI kuna lengo la kuendelea kuzidunisha nchi za dunia ya tatu

    Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi zinazoshiriki kwenye pendekezo hilo, na hasa kuleta maendeleo kwa nchi zilizopokea miradi chini ya...
  6. K

    Dunia yaamka dhidi ya Marekani na Umoja wa Mataifa

    Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha mahusiano ya kidiplomasia na Israel. Mathalan Gustavo Petro rais wa Colombia amemtaka balozi wa Israel...
  7. B

    UPDATE: Aliyedaiwa kuua watu na kusababisha Mechi ya Ubelgiji vs Sweden kuahirishwa, auawa na Polisi

    Mtu huyo aliyetajwa kama Gaidi, aliwapiga Risasi Raia wawili wa Uswidi na kumjeruhi mmoja kabla ya mechi ya Ubelgiji ya kufuzu #Euro2024 dhidi ya Uswidi jijini Brussels ameuawa wakati tahadhari ya Ugaidi ikitangazwa kwa kiwango cha juu zaidi Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Annelies...
  8. Kweli Dunia haiko Fair yaani Mwenzako anayejua anacheza AFL na asiyejua anacheza NBC Maporini Mbagala

    Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na kupigia Kelele Wakazi wakiitafuta Mbande Mbagala Kucheza na Waliofeli Wenzao. ANGALIZO Ukijijua tu...
  9. R

    Nawapa pongezi Mkurugenzi na Wafanyakazi wa TANTRADE kwa kujitahidi kuendana na kasi ya Dunia kutangaza fursa

    TANTRADE ni moja ya taasisi ambazo kwa kiasi kikubwa imeweza kuendana na mahitaji ya biashara kwa Dunia ya sasa. Wameondoka kuendesha maonyesho ya sabasaba na sasa wanaangalia fursa za maonyesho nje na kuwapa opportunity hata wale ambao wanashindwa kuvuka mipaka kupeleka bidhaa zao. Uimara wa...
  10. Zuio la VPN: Kwanini Mamlaka zinaikimbia Teknolojia wakati dunia inaelekea huko?

    Wadau, bila shaka mmeliona tangazo la TCRA kuhusu onyo la matumizi ya Kipenya Mtando Binafsi (VPN), tangazo ambalo ni dhahiri linaonesha Mamlaka zinaogopa Teknolojia kuliko kuwekeza zaidi katika kutambua fursa zilizoko kwenye uwanda huo. Katika dunia ya sasa Mamlaka zinapaswa kuweka mazingira...
  11. G

    Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

    Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India. Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile...
  12. P

    Nawezaje kuishi katika dunia iliyochanganyikiwa?

    Ukifuatilia historia ya dunia utaona bila shaka kuwa Walimwengu wamechanyikiwa siku zote. Vita kila kona ya dunia, mauwaji, majanga, visa vya kutisha, uchafuzi wa hali ya hewa na mazingira, wizi na mengineyo. Kuishi katika dunia ya namna hii inahitaji uwe na ufahamu wa aina yake. Uwe na uwezo...
  13. Ni kwa namna gani dunia inapata vipindi mbalimbali vya msimu (Kiangazi, Masika na Vuli)?

    Salama? Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu. Nawasilisha.
  14. Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  15. T

    Israel kuishangaza Dunia tena

    Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi. Hivi Nina andika tayari...
  16. Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina Nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya machafuko...
  17. Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

    Ukiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
  18. Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

    Kwa hii migogoro mbalimbali inayo endelea kuwepo duniani inathibitisha bila shaka kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye amini kuwepo. Kauli ya Karl Marx kuhusu dini mpaka sasa bado inasimama wima. Kiranga na kundi kubwa la atheists mpaka sasa hoja zao zina simama wima kwa haya yanayo endelea duniani...
  19. Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

    Hakuna haja ya salamu. Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo. Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa...
  20. N

    Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

    Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…