dunia

  1. Dunia inafahamu uongo wa IDF. Waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael, leo wamekiri kuwa ni Wapelestina!

    Wanaukumbi, Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina. Swali basi ni, nani aliyewachoma? Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
  2. Dunia imebadilika maskini wanaibiwa mitaji

    Dunia imebadilika. Zamani kulikuwepo mikakati ya kusaidia maskini lakini siku hizi kuna mikakati ya kuibia maskini credit by Dr Reginald Mengi
  3. D

    Pale Rais wa Dunia alipowacheka Simba

    Wana-JF, Niwakumbushe tu kuwa Infantino ni Rais wa Dunia toka 2016. Kwa miaka 7 ya Urais wake kaona mengi sana katika soka, lakini waliomchekesha ni Makolo tu. Kama kuna Kolo anayebisha basi atume video ya Infantion akiwa katika wadhifa wake kama Rais wa FIFA akiicheka timu nyingine yoyote...
  4. Dunia inapambana kumfuta mwanaume

    Wakuu mulibwanji? Aisee nimetafakari sana jinsi ambavyo dunia ikishirikiana na mwanamke kummaliza mwanaume, kufuta nafasi ya mwanaume, kufuta haki zake ikibidi zinachukuliwa na kupewa mwanamke. Ninakuhakikishia hata huyo mkeo uliyenaye hapo ni vile hajapata mtu mwingine tu anayekuzidi...
  5. B

    Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  6. S

    Huko dunia ya Ulaya kuna jambo gani kuhusu Afrika?

    Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla. Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi. Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
  7. Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

    Kwema Wakuu. Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu, kila nitakachoeleza kitatokana na uelewa wangu kuhusu vile ninavyowajua Watu na binadamu. Yeyote anaweza kunipinga kwa hoja na kulingana na mtazamo wake. Nachelea kusema kwenye huu ulimwengu, hakuna Watu waoga kama waarabu. Ninasema hivyo kwa...
  8. Israel inalazimisha dunia kuamini Hitler alikuwa sahihi kufanya alichofanya dhidi yao

    Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea ushenzi wa marekani. Tukio la kikatili alilofanya marekani juu yao limewafanya wajapan mpaka ule ushenzi...
  9. TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi. Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
  10. Miradi ya mwanamfalme MBS kuibadili Saudi Arabia kuwa pepo ya dunia yaingia ukorofi

    Waislamu duniani mara zote wanapopatwa na shida walitegemea wapate utetezi wa hali ya juu kutoka kwa utawala wa Saudi Arabia kwanza kabla ya kwengine kokote.Misaad hiyo ingeweza kuwa ya kimali,kijeshi na hata kauli za kisiasa. Kinyume chake mara zote kumetokea maangamizi mabaya kwa waislamu bila...
  11. Dunia ielewe kuwa Israeli haipigani na Waislamu au Palestina, bali inapigana na Hamas

    Kitendo cha HAMAS kuvamia Israel na kuua baadhi ya Raia, kumimina risasi uraiani, na kuteka watu ikiwemo watanzania wawili, icho tayari ni kitendo cha Kigaidi (Terrorism Act), rejea maana ya neno 'Terrorism' au 'Ugaidi'. Hata hivyo mwanzo watu walionekana kufurahishwa na vitendo vya Hamas...
  12. Benki ya Dunia inaidai Kenya zaidi ya Tsh. Trilioni 24.96

    Deni la Kenya kwa Benki ya Dunia limepanda hadi kufikia Ksh1.5 trilioni [TZS trilioni 24.96] mwezi wa Juni kutokana na ongezeko la mikopo na kushuka kwa thamani ya shilingi ya Kenya. Takwimu kutoka Benki Kuu ya Kenya inaonesha kuwa deni hilo lilikuwa Ksh1.57 trilioni (TZS trilioni 26.1]...
  13. TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  14. TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu. Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma. Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti...
  15. Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

    Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia? 1. The holy scriptures say YES. MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu" ( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
  16. Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
  17. I

    Afrika Kusini yamfunga Uingereza rugby kombe la dunia yatinga fainali

    Hali ilivyo sasa mitaa ya bloemfontein baada ya southafrica kumfunga uingereza kwenye kombe la dunia la rugby leo hata ukiomba papa unapewa bure. --- England 15-16 South Africa: Handre Pollard pounces to send Springboks into Rugby World Cup final A try for...
  18. Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

    Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake. Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla. Je dunia inampenda baba bora/mume bora? The evidence says NO. Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
  19. TANZIA Mchezaji wa zamani wa England na Man United, Sir Bobby Charlton afariki dunia

    Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa mchezaji wa Manchester United, akishinda Kombe la Europa, Mataji 3 ya Ligi na Kombe la FA Baada ya...
  20. W

    Dunia hakika ina mambo. Tumekutana na mganga ambaye sharti lake uitikie 'beeee' kila akikuita!

    Baada ya mgonjwa wetu kurudishwa hospitali kutokana na kushindwa, ikatulazimu kujaribu upande mwingine, sasa zunguka weeee bila bila, afadhali hakuna. Jana tukatonywa juu ya uwepo wa mtaalamu mwingine kijiji fulani, tukaondoka huko tulikokuwa na leo asubuhi tumefika kwa huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…