dunia

  1. Notorious b.i.g na ujumbe ulioshindwa kuiponya dunia

    Baada ya kifo cha 2 pac September 7 ,1996 , notorious B.I.G alihusishwa sana na kifo cha 2 pac na haya ndio yalikuwa majibu yake . Kwa maana rahisi “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” Watu wakifa hakuna kurudi tena kama...
  2. Dunia sasa inatengeneza watu wadhaifu sana

    Majuzijuzi niliwaambia kwamba kwa sasa hii dunia inatengeneza watu soft sana, na niliwazungumzia waandishi wa habari walivyokuwa soft, si kama wale wa zamani, yaani usoft wao umekuwa kwenye kila kitu, dunia inatengeneza waandishi machawa kuliko hata wale wenye taalumu halisi ya uandishi. Sasa...
  3. Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  4. Hakuna kitu cha Milele katika Dunia hii ikiwamo Matatizo

    Ni kweli kabisa tunakumbana na matatizo makubwa sana ambayo kwa namna moja ama nyingine likikufika unaweza ukaona kuwa sasa umekwisha. Yani unaona kabisa hapa sitoboi hata iweje. Ngoja nikuambie kitu. Tatizo linapotokea wakati huo huwa linakuwa la moto sana kulingana na tatizo lenyewe. Sasa...
  5. Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

    Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!. Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!. Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
  6. Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

    Habari za jioni wadau.... Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema. Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa. Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo...
  7. Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  8. Kabla uchaguzi kufanyika Marekani.Yatajwa kuna njama za kumuua Trump.Aongezewa ulinzi.Naye asema ataifuta Iran kwenye uso wa dunia.

    Dunia itaendelelea kuwa sehemu ambayo si salamu kwa watu kuishi kwa utulivu muda wote ambao Marekani na Israel zitaendelea kuwa washirika wa karibu. Hivi karibuni kulifanyika jaribio la kumuua mgombea uraisi wa Marekani na ambaye amewahi kuwa rais,bwana Donal Trump.Jaribio hilo lilifanywa na...
  9. Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  10. Mfumo wa TEHAMA watetereka dunia nzima baada ya Kampuni ya Microsoft kupata changamoto kwenye mifumo yako

    Taarifa inayoendelea kwa kasi sasa ni IT kuvurugika dunia nzima. Summary * Major IT outages have hit industries across the world; almost 1,400 flights are cancelled and banking, healthcare and shops affected * Cybersecurity firm Crowdstrike says a "defect" in one of its software updates hit...
  11. J

    Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

    Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
  12. L

    IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  13. Waziri Nape: Minara inajengwa kuwaunganisha watu vijijini na Dunia ya kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amesema lengo la Serikali kutoa ruzuku ya ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini ni kuwaunganisha na kuwasogeza Watanzania na Dunia ya Kidigitali ili wasiachwe nyuma na huduma nyingi, alizosema, zitaendeshwa...
  14. Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
  15. K

    Watu wanaipenda dunia kuliko ahera

    Haamini Kama Kuna Siku ya Kiama Ukijiona wewe ni kiongozi, na unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa Katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM uliahidi kuvilinda, kuvihifadhi, na kuvitetea, basi fahamu kuwa unafanya kosa kubwa. Mheshimiwa...
  16. UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
  17. Dunia inatembea juu chini inapokosekana imani/dini. Leo nathibitisha kuwa imani ni muhimu kwa usalama wa ulimwengu

    Nimeshawahi kuchapisha bandiko mbalimbali yenye mlengwa wa kuhoji/kupinga vikali uwepo wa Mungu mkuu hoja zangu zilikuwa based on theories nadharia, ufahamu na akili/rational thinking katika kutambua uwepo wa Mungu sikufanikiwa kutambua uwepo wake katika kuyaongoza maisha yetu, ila nimekuja...
  18. Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

    Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho? Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
  19. Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  20. Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…