dunia

  1. Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

    Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo! Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia...
  3. L

    CIIE kuunga mkono Afrika kuungana zaidi na uchumi wa dunia

    Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa msamaha wa ushuru wa forodha bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi zilizo nyuma kimaendeleo, zikiwemo nchi 33 za...
  4. Hii dunia hii, rafiki yangu kanyang'anywa gari na mshangazi wake

    Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
  5. Mbinu zao za kushinda ni zilezile Dunia imekaa kimya

    Dunia, huruma tanzania yahitajika
  6. Nyie walimwengu dunia yenu ya mapenzi imeshanishinda!

    Hamna dogo nyinyi,staha wala adabu mtu unajitahidi kwa uwezo wako wote mpaka jasho linakumiminika,vikengere utamu mpk vinachemka lkn mtu bado anakuambia unafanya mapenzi kama bata!!..😠 Bata! sure bata! WTF
  7. Jinsi ya kutawala dunia

    1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono. 2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu 3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha ulevi hakina maamuzi 4. Wawekee video za ngono kila mahali, wakishiba wafikirie kujikojolesha 5...
  8. Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

    Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo. Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
  9. Marekani iliwafunda Nyerere na watu wengine wa dunia waliokuja kuwa Marais wa nchi zao

    Leo, katika Siku ya kumuenzi Mwl. Nyerere, tunaheshimu urithi wa baba wa taifa la Tanzania na bingwa wa umoja, amani, na elimu duniani kote. Mwalimu Nyerere alishiriki katika Programu ya Uongozi ya Kimataifa ya Marekani mwaka 1961. Programu ambayo ilimpa fursa ya kufahamu mfumo wa kisiasa wa...
  10. Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

    Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao...
  11. TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

    Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga. Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital...
  12. Vikwazo dhidi ya Urusi vyazidi kuichakaza EU. This time

    Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na usawa katika biashara (unfair competition) kwa kuwa na advantage ya kuendelea kupitisha ndege zao katika...
  13. B

    Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

    Bila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga: Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon. Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel yamepanuka. Hawajachagua kiongozi na kwa wakati wao watamchagua. Kamwaga pongezi za kutosha kwa HAMAS...
  14. Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

    NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko. Source: science.nasa.gov
  15. Katika Dunia kila kitu ni biashara

    Juzi Juma mamosi nilikua Sehemu nakula akapita Binti nikamsemesha, Direct Bint, anataka 50k kwa Bao Moja. Kwamba apendi kutongozana, ni mrembo kwa mtazamo wangu,nikawaza faster. Kama huyu Binti angekua anapata 50K kwa Bao Moja, toka siku alioanza kufanya mapenzi/ Ngono Hadi Leo maana yake...
  16. Waziri Chana amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia

    WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
  17. T

    Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe. Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani. Israel amemtwaa mchezesha ngoma na...
  18. TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
  19. Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

    Okay, let's make this as short as possible. Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down. Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu? Only a desperate idiot gives a permanent solution to a...
  20. Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…