Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo?
Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
dakika
dunia
kati
mchele
mgogoro
mgogoro wa ukraine
muhtasari
mungu
nchi
nchi za ulaya
nyuklia
ogopa
tanzaia
ukraine
ulaya
umoja
umoja wa nchi
urusi
vita
Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote.
Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare.
Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo wakuona nje ya unit.
Hivi kweli mnajuwa kabisa hili Taifa lime sign mikataba ya kimataifa na nyie...
Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu.
Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi!
TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 .
Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
Kocha bora kwa muongo mmoja na nusu uliopita bila shaka ni Josep “pep” Guardiola kutoka Spain.
Huyu akiikamata mechi atakutawala kwanzia possession, mashambulizi, magoli yaani kila kitu. Kama unabisha muulize Sir Alex Ferguson pale Wembley.
Guardiola akatawala soka la Spain akiww na Barca bora...
Habari wana jamvi kwa miaka ya hivi karibuni takribani 3 nmekuwa nkifuatilia projects mbali mbali kuhusu hawa viumbe wa kigeni duniani yaani ALIENS
Nimekuwa nikofuatilia documentaries za historia za kale sana za civilizations mbali mbali kama mesopotania, maya, Egypt n.k mpaka india huko...
Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano...
Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM WILAYA YA MASWA AFARIKI.
Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Paul Jidayi (pichani) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Maswa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Mwl Onesmo Makota imesema...
1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote.
2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge...
Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha.
. Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
Habari wanajukwaa JF GT
Katika Ulimwengu wa wenye akili wanaumiza akili kufanya makubaliano yakibiashara "business deal". Marekani anapambana na Mchina, Mchina naye anajaribu kupata masoko mapya Ulaya yenye purchasing power kubwa. Russia anajiimarisha kupitia washirika wenye nguvu. Kiufupi Dunia...
Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala
Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama
Ndoo, vikombe, mifuko n.k
matanki
nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics
Mazulia
-mazulia kama makapeti...
Serikali kukanusha ukiukwaji mkubwa wa haki nchini na uwepo wa mauwaji yasisi kwa sisi ya kiholela holela hasa kwa wakosoaji wa serikali kwa wapinzani na viongozi wa kidini ni kujaribu kutaka kudanganya dunia dhidi ya ukweli.
Serikali imekanusha azimio la ulaya ikidai kuwa haiajapata taarifa...
The world is randomly .
Dunia hii tunayoishi hijapangika ila inahitaji kupangwa.
Unapokuja hapa Duniani moja kwa moja unakuja ku-experience Dunia ambayo haijapangika Ipo (Randomly)
Ili uone ladha ya MAISHA ya Duniani either kwa uchache au ukubwa, lazima ukae sehemu ya kuipanga dunia...