dunia

  1. Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  2. W

    Jaribu kufikiria hili la dunia ya kwanza

    Habari wanajukwaa JF GT Katika Ulimwengu wa wenye akili wanaumiza akili kufanya makubaliano yakibiashara "business deal". Marekani anapambana na Mchina, Mchina naye anajaribu kupata masoko mapya Ulaya yenye purchasing power kubwa. Russia anajiimarisha kupitia washirika wenye nguvu. Kiufupi Dunia...
  3. Lazima bidhaa zote za plastic zitakuwa zinazalishiwa hapa Tanzania. Nia ni kuteka soko la dunia la plastic

    Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo asilimia kubwa sana ya nguo zinatumia polyester nyuzi za plastics Mazulia -mazulia kama makapeti...
  4. Serikali kukanusha mauwaji na utekaji na ukandamizaji ni kujaribu kudanganya dunia dhidi ya ukweli

    Serikali kukanusha ukiukwaji mkubwa wa haki nchini na uwepo wa mauwaji yasisi kwa sisi ya kiholela holela hasa kwa wakosoaji wa serikali kwa wapinzani na viongozi wa kidini ni kujaribu kutaka kudanganya dunia dhidi ya ukweli. Serikali imekanusha azimio la ulaya ikidai kuwa haiajapata taarifa...
  5. Dunia yetu tunayoishi haijapangika ila inahitaji kupangwa ili kuleta mpangilio mzuri kwa watu wake

    The world is randomly . Dunia hii tunayoishi hijapangika ila inahitaji kupangwa. Unapokuja hapa Duniani moja kwa moja unakuja ku-experience Dunia ambayo haijapangika Ipo (Randomly) Ili uone ladha ya MAISHA ya Duniani either kwa uchache au ukubwa, lazima ukae sehemu ya kuipanga dunia...
  6. Kama maazimio ya bunge la EU limeleta kiwewe, itakuwaje bunge la dunia litakapotoa tamko?

    Inasemekana bunge la "Ulaya" limetoa "tamko" kufuatia kukamatwa kwa Tundu Lissu, tamko ambalo kwa kiasi fulani limeleta kiwewe nchini! Nafikiri, kiitifaki, Umoja wa mabunge duniani ni kubwa zaidi kuzidi bunge la EUE! Ikiwa bunge la EU "limeitetemesha" nchi, itakuwaje pale Umoja wa mabunge...
  7. Ile picha, je,ulikuwa unabii,au ni mipango ya wenye dunia yao?

    Waadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo. Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja amevaa viwalo vya Papa na leo papa kachaguliwa kutoka taifa hilo.Je,ni coincidence ama ndo yanatimia...
  8. "Magharibi Wamechoka: Uingereza Hoi, Marekani Analia, China Anacheka – Mchezo wa Dunia Unabadilika"

    Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa. Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu – Marekani. 1. Kwa Nini Marekani Anamlinda...
  9. Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  10. 25% ya nobel prize wameshinda Waisrael wakati dunia yote ni 75% tu! Hawa watu walichaguliwa na Mungu

    Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia. Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8. Lakini mchango wao kwenye hii dunia hasa wa uvumbuzi wa vitu na technolojia umekua n mkubwa kupitiliza….. kwa uchche wao ndio lakini...
  11. J

    David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  12. H

    "Kila sheria ni haramu, kila serikali juu ya uso wa dunia ni haramu"By Bob Marley

    Huu ndiyo uhalisia kwani sheria zimewekwa na serikali ambazo zina tanguliza masilahi ya familia za viongozi wake.
  13. B

    FEMININE DIVINE — Siri Iliyofichwa na Milki za Dunia

    📜 Katika asili ya mwanzo, kabla ya historia kuandikwa tena na vikundi vya madaraka, mwanamke hakuwa "kiumbe mdogo" au "mfano wa pili." Mwanamke alikuwa Mlango wa Nuru. Katika mafundisho yaliyofichwa au kuondolewa kwa umma(ambayo bado yamefungwa kwenye sehemu za Vatican), kuna maandiko...
  14. Dunia haina huruma

    Huku kuna familia fulani mahali. Hili ni sakata la kweli sema ITV haijajua ingetangazwa. Huyu baba tumuite Martin , na huyu mama tumuite Jeska. Martin alikuwa mfanya biashara wa kati. Alikuwa anasafiri sana. Mpaka anasahau kumpa jeska unyumba. Martin alikaa nje ya ndoa takribani miaka kumi...
  15. Kitu ambacho wasiojulikana wanashindwa kumfanyia Lissu ni kwamba dunia na media zote zimekuwa GPS kwake

    Tukiendelea na masokwe watawala kupoteza watu na kubaki kujifanya kama hawa fahamu ila sasa kinacho washinda kuwa Lissu ni GPS ambayo wakigusa kila jambo tutajua.
  16. Kwani dunia haiwezi kuitenga Marekani?

    Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?
  17. Mbona tamthilia ya dunia haijadiliwi humu ndani

    Hii tamthilia inafanya vizuri kwa sasa Ina trend sana YouTube visa vyake ni usaliti,maisha ya ndoa,unafki w marafiki,ulevi,uwongo.. Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.
  18. Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  19. Dunia ya Sasa inabidi kutafuta pesa kuwa ndugu wa ndugu yako🙌

    Mikono mtupu haulambwi na waswahili walishasema, tuzisake tu ili tuwaweke karibu watu vitu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…