Nimeamini kuna watu wana kismati tuu. Wakati naanzisha hii biashara nilikaa mwenyewe kwa mda flani ambao nilikua free,
Nikaona mauzo yanaenda poa tuu,
Baada ya majukumu ya kikazi kuanza nikatafuta sista duu haswaa, nikamuweka pale, Mauzo yalashukaa, sio kama hana lugha nzuri, anahudumia vzr na...