Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
Kwa ujumla na kiuhalisia, baadhi ya Wabongo ni watu wanaofanya mambo kwa taratibu na kujivuta. Hata hivyo, kwenye duka la dawa (pharmacy) ni eneo ambalo mtu anapaswa kujitahidi kufanya mambo kwa haraka ili kuwapa nafasi wengine nao wapatiwe huduma kwa faragha.
Jambo lingine la hovyo kwenye...
Habari, za wakati huu wana Jf,
Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo:
1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY
Kama...
Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora
bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa
Bei haipungui
Duka
Lina kabati 2 nyuma
Kila moja futi 8 kimo 4 upana
Kabati 1 mbele futi 5 kimo 4 upana
Pembeni pia partition 3 vioo urefu wa 4×3
Duka Lina lesseni ya biashara ina expire...
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.
Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.
Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.
Naomba...
Habari wana JF,
Natafuta duka la dawa linalo uzwa
Ambalo lina kila kitu.
Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara.
Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe.
Mawasiliano;0757915171
Habari wakuu,
Matumaini yangu mko vizuri na wenye shida Mwenyezimungu awasaidie, Niende moja kwa moja kwenye maada.
Wakuu naomba kuuliza kuhusiana na duka la Dawa za asili au kama ilivyozoeleka Dawa za kisunna, utaratibu katika kufungua duka la namna hii,
Mtaji uanzie kiasi gani Kwa minimum...
Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka.
Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
Habari za muda huu wadau.
Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu.
SIFA
Awe na ADO
Awe mwaminifu
Awe mwadilifu
Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi
Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora
Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa
Mawasiliano
0620860602
0621601703
0744200166
0764601703
Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN.
Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa.
Jukumu hili lanabakia kuwa salama sana mikononi mwa Muuguzi kwa sababu nyingi ikiwemo zifuatazo.
1. Anaufahamu mwili na...
Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing
Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli
Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa.
kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.