duka la dawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Anahitajika binti wa kuuza duka la dawa

    Anahitajika binti mwenye cheti cha Addo, kuuza duka la dawa mkoani Tabora.
  2. micky 00

    JamiiForums Tanzania Natufuta kazi (duka la dawa/ phamacy) Mbeya, Dodoma, Iringa na Singida

    Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa. kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
  3. Mwanzo ni Mwisho

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka la dawa la kununua

    Habari zenu, Naitaji duka la dawa la kununua. Likiwa Dar es Salaam itafaa zaidi Mawasiliano; 0747182280
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Wafamasia wana nini?

    Hawa jamaa ndio wanaosimamia maduka ya dawa maarufu kama Pharmacy. Jana nimeona wameungana na wanaharakati akina shangazi, kupinga agizo la mheshimiwa waziri Ummy, la kuondoa maduka ya dawa yaliyo karibu na Hospitali za umma kama inavyosema sheria yao wenyewe. Sheria au kanuni ziliweka umbali...
  5. WOLF SEPTICEMIA

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza duka la dawa au maabara ya vipimo

    Hodi wakuu! Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa. kwa yoyote anayeuza anicheki Natanguliza shukrani zangu kwenu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kuuza duka la dawa

    Duka liko Dar es salaam eneo la mbezi barabara ya goba. Ni ndani kidogo mtaani sio barabara ya lami. Kutoka lami ni mwendo wa km 1. Masharti ya kazi. 1. Ataishi nyumbani kwa boss wake kwa urahisi wa kufika eneo la kazi au dukani. 2. Awe na utaalamu wa dawa. 3. Mshahara sh 100,000 chakula na...
  7. kitokololoo

    JamiiForums Tanzania Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

    Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa. Pia Meza kubwa ya kioo milango ya kioo na Gharama zingine ndogo ndogo za kufanya duka liwe na mvuto inacost kiasi Gn? Budget yangu ni 2.5 matengezo cha...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa duka la dawa anatakiwa

    Eneo la Kazi ni Kibiti Pwani, awe msichana anayeweza kufanya kazi kt mazingira ya kijijini kidogo. Biashara ni ndogo na inaanza ila kwa eneo lilivyo baada ya muda mfupi nategemea matokeo makubwa. Akiwa mkristo ni lazima ahudhurie kanisani, na akiwa muislamu hali kadhalika. Mshahara kwa kuanza...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kumiliki duka la dawa muhimu ni lazima mhusika awe amesoma program ya pharmacy?

    Habarini wana JF, Naomba kujua kama ni lazima mtu awe amesoma pharmacy ili aruhusiwe kufanya biashara ya duka la dawa muhimu za binadamu au la. Naomba msaada kwa hili tafadhali.
Back
Top Bottom