dpp

The Democratic Progressive Party (DPP) is a Taiwanese nationalist and centre-left political party in Taiwan. Controlling both the Taiwan Presidency and the unicameral Legislative Yuan, it is the majority ruling party and the dominant party in the Pan-Green Coalition.
Founded in 1986, the DPP is one of two major parties in Taiwan, along with the historically dominant Kuomintang. It has traditionally been associated with strong advocacy of human rights, anti-communism and a distinct Taiwanese identity. The incumbent President and former leader of the DPP, Tsai Ing-wen, is the second member of the DPP to hold the office.The DPP is a long-term member of Liberal International and a founding member of the Council of Asian Liberals and Democrats. It represented Taiwan in the Unrepresented Nations and Peoples Organisation. The DPP and its affiliated parties are widely classified as socially liberal because of their strong support for human rights, including support for gender equality, but they also advocate economic liberalism and a nationalistic identity. In addition, the DPP is more willing to increase military expenditures, with a strong pro-Western foreign policy.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DPP lawamani kesi ya Mwekezaji kukaa mahabusu muda mrefu, hakimu acharuka ataka upelelezi uharakishwe

    Na Mwandishi Wetu, ARUSHA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mfanyabiashara na Mwekezaji Saleh Salim Alamry (54) na mwenzake wakili Sheck Mfinanga, kuharakisha upelelezi wa shauri hilo ili kesi ya msingi ianze kusikilizwa...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Sheria inayompa mamlaka makubwa DPP, kuwa apeleke au asipeleke kesi mahakamani, ni mbaya na inafaa ifutwe

    Miongoni mwa sheria mbovu sana zilizopo nchini ni inayompa mamlaka DPP ya kuweza kupeleka au kutopeleka kesi yoyote ya jinai, inayomkabili mwananchi yeyote na asitoe sababu za kutoipeleka kesi yoyote Ile mahakamani! Hii ni sheria mbovu sana, ambayo ilitungwa Kwa nia ya kuwafanya baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jalada la Afande lafikishwa kwa Dpp. Je, ataburutwa mahakani?

  4. JamiiForums Tanzania Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Kama ambavyo DPP anaweza kuomba kuingia katika kesi yoyote ile ya jinai, Mwanasheria Mkuu pia anaweza kuomba kuingia katika kesi ya madai yoyote ile

    Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali. Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi yoyote ile ya madai kama kuna maslahi ya umma ili kuondoa matumizi mabaya ya mifumo ya haki Ni taarifa tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

    Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x; Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO CHOCHOTE KILE, mimi PETER MADELEKA, nitafanya WAJIBU huo kwa FEDHA ZANGU. Hatuwezi kuwa taifa la...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ofisi ya DPP wamekuwa blacklisted uteuzi wa Ujaji?

    Kuna malalamiko yamekuwa yakisambaa kitambo sasa, binafsi kuna siku nilitoka mahakamani nikawa kwenye lunch na mawakili kadhaa, miongoni mwao walikuwepo wa DPP. Nikachomeka, ati mbona kila mkeka wa majaji hatuoni mawakili wa DPP,(niliongea kwa kebehi tu nione mawakili wa serikali tulikua nao...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama yakubali ombi la DPP kuondoa rufaa dhidi ya Sabaya, sasa yupo huru na hana rekodi ya uhalifu

    Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, Leo amewasilisha katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa Rufaa No.155 ya Mwaka 2022 Aliyokua ameikata dhidi ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Na wenzake. Rufaa hiyo ilikatwa na Jamhuri baada...
  9. JamiiForums Tanzania DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  10. JamiiForums Tanzania DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

    Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: DPP acha kupotosha umma, hakuna sheria inayomzuia wakili kuweka nyaraka mitandaoni

    Nataka kumwambia DPP aache KUPOTOSHA UMMA. Hakuna SHERIA yoyote inayomzuia WAKILI kuweka NYARAKA kwenye MTANDAO. Kama DPP anataka kuwa MWANAHARAKATI wa KUMTETEA ndugu PAULINE GEKUL, basi, AACHE Ofisi ya Umma na AJE TUPAMBANE JUKWAANI. Ni muhimu JAMII ifahamu kwamba, HASHIM ALLY hakuridhika na...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa DPP juu ya kumfutia Kesi ya Jina Pauline Gekul

    Mosi, hili shauri limefunguliwa chini ya Kifungu 128(2) cha CPA na mshtaki binafsi (private prosecutor), ambapo utaratibu huu sheria inamtaka Hakimu kwanza AJIRIDHISHE kuna ushahidi wa kutosha kabla ya kuanzisha mashtaka. Hakimu alifanya hivyo na akakubali kuanzishwa kwa mashtaka kwa sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka anatumika na dola kumsafisha Mbunge Gekul

    Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no...
  15. JamiiForums Tanzania Rufaa ya DPP kupinga kuachiwa huru kwa Sabaya na wenzake kusikilizwa leo

    Rufaa ya DPP dhidi ya Ole Sabaya , ya kupinga kuachiwa huru inaanza kusikilizwa leo . Mitaani huwa tunasema hivi , " HAIJAISHA MPAKA IISHE " --- Mahakama ya Rufani leo Novemba mosi, 2023 imepanga kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  17. JamiiForums Tanzania Waliojifanya "Usalama wa Taifa" Mbele ya DPP Wakutwa na Hatia, Walipa Faini na Kuachiwa Huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Joshua Kamalamo (37) na Yahaya Kapalatu (31) kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Sh3.9 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kujifanya maofisa Usalama wa Taifa (TISS). Akitoa hukumu hiyo leo Mei 30, 2023, Hakimu Mkazi Mkuu, Richard...
  18. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JATU PLC aomba kukiri Makosa kwa DPP

    Peter Gasaya (33) anayekabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Tsh. Bilioni 5.1 kwa njia ya udanganyifu, amemwandika Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania (DPP) barua ya kukiri na kuomba apunguziwe adhabu. Gasaya alishtakiwa kwa makosa ya kujipatia fedha hizo kutoka katika Saccos ya JATU...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…