donald trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a bachelor's degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. Trump later started various side ventures, mostly by licensing his name. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. Despite being disfavored in most forecasts, he was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump has pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He recognized Jerusalem as the capital of Israel, imposed import tariffs triggering a trade war with China, and started negotiations with North Korea toward their denuclearization.
A special counsel investigation led by Robert Mueller found that Trump and his campaign welcomed and encouraged Russian foreign interference in the 2016 presidential election under the belief that it would be politically advantageous, but did not find sufficient evidence to press charges of criminal conspiracy or coordination with Russia. Mueller also investigated Trump for obstruction of justice, and his report neither indicted nor exonerated Trump on that score. A 2019 House impeachment inquiry found that in the Trump–Ukraine scandal, Trump solicited foreign interference in the 2020 U.S. presidential election to help his re-election bid, and then obstructed the inquiry itself. The inquiry reported that Trump withheld military aid and a White House invitation in order to influence Ukraine to publicly announce investigations into Trump's political rivals. On December 13, 2019, the House Judiciary Committee approved two articles of impeachment: abuse of power and obstruction of Congress.
On December 18, 2019, Trump became the third U.S. President in American history to be impeached by the House of Representatives. A Senate trial is pending.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un ampa onyo kali Donald Trump asema msaada wowote wa Marekani utazuiliwa na kuangamizwa vibaya!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameionya Marekani kupitia shirika la habari la serikali, KCNA, akisema kuwa “msaada wowote wa kijeshi” ambao Marekani itatoa katika Asia ya Kaskazini “utazuiliwa na kuangamizwa kabisa.” Hii inakuja wakati Japan inapanga kupeleka makombora ya masafa...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uroho wa waarabu, Trump na Netanyahu utaimaliza dunia haraka. Ni muda wa wenye hekima kuwakimbia

    Tukianza na Donald Trump kuwakilisha mabwanyenye wa Marekani ni kuwa ni waroho sana wa mali kiasi kwamba kila kitu wanataka wakabidhiwe wao ili wawagawie wengine kwa uchoyo na dhulma. Upande wa Benjamini Netanyahu kama muwakilishi wa mayahudi waliolaaniwa na Mungu wana uroho wa hali ya juu ya...
  3. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Donald Trump mambo magumu Yemen . Aiangushia lawama Iran na kuapa kuchukua hatua Kali dhidi ya Iran

    Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k. Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ushajuliza kwa nini watu kama Elon na Donald Trump wanapata chuki kubwa nchini mwano na duniani kote ingawa wanafanya yale ya kuimarisha nchi yao?

    Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani. Wamekuwa maadui kwa wafuatao: Mashoga Transgenders Wanaofanya abortion Wahamiaji holela Wavushaji wa...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani imechagua adui dhaifu kupigana naye kuficha aibu zake.

    Bila kuchokozwa raisi Trump ameamua tu kupiga maeneo ya Yemen akijua hiyo ni nchi dhaifu kwa miaka mingi. Kwa kujua huko nyuma wameshaipiga sana na kuvunja miundo mbinu mingi ya nchi hiyo lakini bado tu Trump ameelekeza nguvu zake huko huku akijisifu kwamba anashusha kiama huko Yemen Tukio...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Katika vita vya kibiashara hivi Trump anakusudia kupata nini ?

    Nimejaribu kujiunga na mtandao binafsi wa Trump wa Truth Social na sijafanikiwa. Nilitaka nimuulize baadhi ya maswali anijibu na akishindwa nimpe elimu kidogo. Swali langu ni hilo hapo juu. Nilichotaka kumwambia Trump ana kwa ana ni kuwa anapigana na vita ambavyo atashindwa mchana kweupe...
  7. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Donald Trump unafikiria kuongeza vizuizi vya kusafiri kwa raia kutoka nchi 41 kati ya hizo za Afrika ni 22

    Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza wa Rais Trump, kwa mujibu wa maafisa walioko karibu na suala hilo. Soma Pia: Trump asimamisha...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ayafanyia kampeni ya masoko magari ya Tesla ya Elon baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa

    Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US, White House kuifanya matangazo ya kibiashara na kushawishi watu kununua magari ya Tesla huku...
  9. Mag3

    JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump amtaka Trump amsamehe Derek Chauvin muuaji wa George Floyd

    Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump wautaja tena waasi wa Houthi kuwa "shirika la kigaidi la kigeni"

    Pesa ya kujenga nchi waliyoiharibu wenyewe hawana ila ya kurusha makombora kwenda Israel na USA wanayo. MATAPELI! ============= Wizara ya Mambo ya Nje siku ya Jumanne ilirejesha tena hadhi ya "shirika la kigaidi la kigeni" kwa kundi la Houthi linaloungwa mkono na Iran nchini Yemen, ikitimiza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mbona mapema sana ? Baada ya Zelensky kukataa kusaini mkataba wa madini Marekani na kutimkia ulaya, kabadili msimamo yupo tayari kusaini,

    Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k. Zelensky alidhani kwamba baada ya kukimbia Marekani na kuelekea Ulaya angeliweza kupata msaada mkubwa zaidi, Lakini alijikuta na mshangao...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu baada ya kuona mnyukano ya Trump na Zelenskyy

    Zelenskyy ni Secret Agent wa USSR aliyeiva Katika mazungumzo Zelenskyy alionekana kuwa ni mtu wa kujiamini sana. Maelezo yake aliyokuwa anayatoa ni very direct. Yeye alichokuwa anadai kwa Marekani ni Security Guarantee. Maana yake anamtaka USA aingie direct conflict na Russia. Trump alikuwa...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi Donald Trump akatisha ufadhili kwenye programu za UKIMWI, Malaria na Polio duniani kote. Tanzania tutatoboa?

    Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump imesitisha ufadhili katika programu mbalimbali za afya ikiwemo HIV, Polio, na Malaria duniani kote. Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, serikali ya Trump imesitisha takribani programu 5,800 zilizokuwa zinafadhaliwa na USAID ikiwa ni pamoja na...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Maamuzi ya Rais Donald Trump kusitisha Misaada ni fursa kwa Afrika

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kwanza cha Trump na Mawaziri wake kimeanza kwanza kwa kutanguliza Sala.

  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuifuta USAID, gazeti la Washington Post lafichua Elon Musk kupokea USD Bilioni 38 kutoka Serikali ya Marekani

    Wakuu, Hii kitaalamu inaitwaje? Inakuwaje mnufaika mkubwa zaidi wa USAID duniani anataka shirika hilo lifungwe? Mtu kama huyu ambaye amepokea Billions of money kutoka serikalini anapata wapi nguvu ya kukatisha misaada? =================================== Gazeti la The Washington Post siku...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump aweka video ya maono yake ya jinsi ataibadili Gaza kuwa sehemu ya kula bata.

    Ameposti video kwenye mtandao wake wa Truth Social jinsi anavyoina Gaza ya siku za mbeleni kupitia mpango wake wa Gaza riviera.
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Rais Trump azindua Golden VISA itakayowapa matajiri uwezo wa kuwa raia wa Marekani

    Katika kuimarisha uchumi wa Marekani, Rais Trump amezindua leo Golden Visa ambayo itakuwa ikiuzwa. Visa hiii ni ktk mwendelezo wa kuimarisha uchumi wa Marekani. Alipoulizwa wafanyabiashara wa Urusi wanaruhusiwa kununua akasema haina ubaguzi. Anahitaji helà mwenye helà atapata VISA Baba...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Brics yanayotaka kuachana na dola ya Marekani katika biashara yajikuta katika wakati mgumu.

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema alitishia BRICS kwa kutoza ushuru wa 150% kwa bidhaa ikiwa watatafuta sarafu mbadala ya dola. Muungano wa nchi tisa ulianza ajenda ya kuondoa dola baada ya Marekani kuishinikiza vikwazo dhidi ya Urusi mwaka 2022. China na Urusi zinaongoza mpango wa...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Felix Tchisekedi Amshawishi Trump Atume Majeshi Kukabiliana na M23 Kwa malipo ya Kumpa Migodi.

    The New York Times imeripoti kuwa Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma wanajeshi kupambana na waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda. DR Congo 🇨🇩 ni nchi yenye...
Back
Top Bottom