donald trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a bachelor's degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. Trump later started various side ventures, mostly by licensing his name. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. Despite being disfavored in most forecasts, he was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump has pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He recognized Jerusalem as the capital of Israel, imposed import tariffs triggering a trade war with China, and started negotiations with North Korea toward their denuclearization.
A special counsel investigation led by Robert Mueller found that Trump and his campaign welcomed and encouraged Russian foreign interference in the 2016 presidential election under the belief that it would be politically advantageous, but did not find sufficient evidence to press charges of criminal conspiracy or coordination with Russia. Mueller also investigated Trump for obstruction of justice, and his report neither indicted nor exonerated Trump on that score. A 2019 House impeachment inquiry found that in the Trump–Ukraine scandal, Trump solicited foreign interference in the 2020 U.S. presidential election to help his re-election bid, and then obstructed the inquiry itself. The inquiry reported that Trump withheld military aid and a White House invitation in order to influence Ukraine to publicly announce investigations into Trump's political rivals. On December 13, 2019, the House Judiciary Committee approved two articles of impeachment: abuse of power and obstruction of Congress.
On December 18, 2019, Trump became the third U.S. President in American history to be impeached by the House of Representatives. A Senate trial is pending.

View More On Wikipedia.org
  1. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania USA sio Mungu wakikosea tuwapinge, kwenye hili nasimama na Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Trump amewawekea vikwazo vya kifedha na Visa kwa maafisa wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wa juu wa Israel Israel na washirika wengine wa USA. Mtakumbuka kwamba mwaka jana 2024 mahakama hiyo ya kimataifa ilitoa hati kukamatwa...
  2. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Trump kamfukuza aliyekuwa mkuu wa Coastguard kwenye kota za Serikali kama mbwa

    Aliyekuwa mkuu wa CoastGuard Commandment Marekani Linda Fagan ( four star admiral) kafukuzwa kwenye kota za Serikali kwa kupewa notice ya masaa matatu. Linda ambaye alitenguliwa na Trump kwenye nafasi yake siku mbili tu baada ya kuapishwa kuwa rais wiki mbili zilizopita alipewa siku 60...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Bifu la Trump dhidi ya Afrika Kusini ?

    Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na akaongezea nyingine kwamba Africa Kusini ina sera za DEI na sera mbaya za mazingira zilizo kinyume na...
  4. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania What is the best decision that Donald Trump can make to help the United States?

    To preface…. I am not a Trump supporter. Not even slightly. But as I am not an American citizen it isn't really for me to say that he shouldn't be in power, that is the choice of the citizens of the country. He needs to develop the work ethic he boasted about. He needs to read the reports, go...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Trump asaini agizo jipya la kuwakataza waliobadili jinsia na kuwa wanawake kushiriki kwenye michezo ya wanawake

    Rais wa Marekani Donald Trump amesaini agizo la rais kupiga marufuku wanamichezo wa transgender kushiriki kwenye michezo ya wanawake. Akisaini agizo hilo Ikulu ya White House, Trump alisema, "Kuanzia sasa, michezo ya wanawake itakuwa ni kwa ajili ya wanawake pekee." Maana ya agizo hilo ni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kutokana na sera na misimamo yake, Donald Trump anaweza kuuawa wakati wowote

    Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani. Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana na Waisraeli kuwaondoa wapelestina huko Gaza maamuzi ambayo pia yataamsha hisia za kidini na hata...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Trump atia saini amri ya kujiondoa kwa Marekani kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa Amri hiyo ilitangaza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maamuzi na kauli za Rais Donald Trump, je zina baraka za White House?

    Niweke wazi kwamba sina jibu kamili la mada tajwa. Lakini ninachokielewa ni kwamba Marekani ni taifa kubwa ambalo Rais yoyote anayeingia madarakani hawezi kwenda kinyume na vision yao. Hata hivyo kauli na ubabe wa Rais wa sasa wa taifa hilo, zinatafakarisha sana hususani implication ya kauli...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania 24 wanashikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji Marekani

    Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) kwa kuishi nchini humo kinyume cha sheria. “ICE imetuarifu kwamba, watu wanne kati ya hao wameshakamilisha taratibu...
  10. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

    Picha linaanza baada ya mwamba huyu kusitisha shughuli zote za USAID na Tz kuwa waanga wakubwa wa Tangazo hilo kwani iliajiri makumi kwa maelf ya watz kwenye sekta hiyo basi niwaibie siri na shemeji yenu alikuwa kwenye sekta hiyo. Wayback niliwahi kushusha uzi humu nikielezea jinsi gani shemeji...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Trump ni Magufuli mweupe, anachokisema anakitekeleza haraka, wiki 1 tu kafukuza wahamiaji haramu na Kafuta USAID. Rais Samia pata somo

    Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Palestina inamjibu Donald Trump baada ya hotuba yake

    Wanaukumbi, Afisa mwandamizi wa Palestina ameieleza Newsweek maoni yake kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwahamisha wakazi wote wa Ukanda wa Gaza ili kufanikisha miradi ya maendeleo ya ardhi. Trump alipendekeza umma wa Gaza, takriban watu milioni 1.5 hadi zaidi ya...
  13. Intricate

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Zelensky kuhusu misaada ni wazi kuwa upigaji na ubadhirifu haupo Afrika tu, hata Wazungu wanapiga

    Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump. Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine. Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni...
  14. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nilikua namsapoti Trump na Elon lakini kwa wachina naona bado hajapata funzo kwa walichofanya Huawei kipindi kile

    Trump kuna sehemu anakosea. Unajua Trump Marekani ameingia kwa nguvu ya watu, na sio wale 'King makers' na hio inafanya asipate ushauri wa watu ambao wanajua miondoko ya dunia humo USA miaka nenda na narudi. Hio inafanya jamaa afanye makosa mengi sana na kuscore 'own goals' nyingi 1)Issue ya...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

    Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili. JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
  16. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Elon Musk asema Trump amekubali kufunga shirika la misaada ya kigeni la Marekani lenye bajeti ya $40 bilioni

    Elon Musk asema yeye na Donald Trump wamekubaliana kufunga USAID – shirika linalosaidia maendeleo ya kimataifa. Katika ujumbe wa sauti kwenye X, alisema: "Tunafunga shirika hilo," akiongeza kuwa alikuwa na "uungwaji mkono kamili kutoka kwa rais." Alisema kuwa shirika hilo "haliwezi...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Cyril Ramaphosa: Trump usitupangie cha kufanya, hauimiliki Afrika Kusini. Jishughulishe na Marekani, tuache na matatizo yetu

    Baada ya Trump kutangaza kusitisha misaada nchini humo kisa madai ya ukiukwaji wa haki za Binadamu na Wazungu kunyanyaswa na kupokonywa ardhi wanazomiliki ambapo Ramaphosa amemtaka Trump aache kuingilia mambo ya Afrika Kusini kwakuwa hayamuhusu na kusema ardhi ya Afrika Kusini sio ya Trump...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania PANAMA machaguzi ni mawili tu ni akubali Panama Canal irudi chini ya usimamizi wa Marekani au avamiwe, Trump kazi kaanza

    Panama wana machaguzi mawili tu kukubali ama kukataa na kila chaguzi lina matokeo yake hasi ama chanya. Maoni ya mdau
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Donald Trump amempa Elon Musk mamlaka ya kudhibiti mifumo ya malipo ya Wizara ya Fedha ya Marekani, akimruhusu kuona na kusimamia matumizi ya kodi

    Wakuu, Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi. Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya Ufanisi Wa Serikali kusimamia na kudhibiti mifumo ya ugawanyaji fedha ya serikali. Hivyo, ni kwamba...
  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli! Mchina alishawahi kutoa msaada gani kwa nchi za kiafrica zaidi ya kutuuzia vitu vyenye ubora feki!

    Baada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!" Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau, pamoja na kutupiga, wametuwezesha na sisi mdogomdogo kusogea! Nchi zote zilizokopa kwa Mchina na...
Back
Top Bottom