domain

  1. N

    Fahamu Domain ni nini na inavyotumika kwenye biashara yako

    Domain ni nini? Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka namba ngumu (IP address), domain hukupa jina rahisi linaloendana na biashara yako. Kwa nini domain ni...
  2. N

    Tengeneza website full ikiwa na domain ya biashara au kampuni example.com yako kwa elfu 50 tu ndani ya siku moja

    Habari, Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24. Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa. Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
  3. J

    Sajili domain yako ya .com sasa kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka.

    Tunakuletea ofa ya kipekee – .COM kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka! Anza safari yako ya mtandaoni leo. Iwe ni kwa biashara, blogu au jina lako binafsi – jina sahihi la domain linakupa hadhi mtandaoni. Usikose nafasi hii, ofa ni ya muda mfupi tu! Tembelea www.jamiisoft.com au tupigie kwa maelezo...
  4. Roving Journalist

    TCRA yatoa tangazo "Kuzingatia hitaji la kisheria la kusajili na kutumia majina ya dot tz (.Tz domain names)

    KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E. 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ina wajibu wa kusimamia uendeshaji wa rajisi ya majina ya...
  5. jikuTech

    Kuelewa kwa Undani Ulimwengu wa Domain na Hosting

    Naamini huenda umewahi kukumbana na changamoto ya kutofautisha dhana mbili muhimu sana katika ulimwengu wa mtandao: domain na hosting. Mara nyingi, watu huchanganya au kushindwa kuzielewa kikamilifu, na hivyo kujikuta wakipotea katika safari yao ya kuwa na uwepo mtandaoni. Leo, nimekusudia...
  6. Mwl.RCT

    Tofauti kati ya domain ya .tz na .co.tz

    Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na taasisi zinaweza kupata utambulisho wa mtandaoni kupitia domain ya kitaifa. Tofauti kati ya .tz na .co.tz...
  7. Upepo wa Pesa

    Kuna tofauti gani kati ya .tz na .co.tz domain?

    Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz .tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000! Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz? Nataka sajili domain naomba mawazo..
  8. Spacefox

    Msaada kuhusu domain na hosting

    Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain. Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
  9. Mr Mjs

    Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  10. P

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
  11. Simeone

    Domain kwa AFUTATU goddady ni uongo bwana!

    Wale wrote mliopata domain name kwa TSH.3000 naomba maelekezo, Balenciaga Jr ulipataje hiyo domain kwa afutatu/NNE
  12. talentbrain

    Domain Name and Hosting

    Habari wadau. Nina miliki website tatu kwa sasa na ninafikiri kuongeza moja hivi karibuni. Kila aliyenitengenezea website aliweka package ya domain name na hosting kwa mwaka mmoja bure. Baada ya mwaka nikaanza kulipia domain name na hosting ambayo kwa website 3 si haba. Nimefikiria kununua...
  13. D

    Premium blogger template yenye custom domain vs WordPress

    wakuu poleni n majukumu. wataalaamu kama kawaida tusaidiane hapa wenye uzoefu, hivi ni bora ukatumia premium template ya blogger then ukatumia na custom domain au uhamie tu moja kwa moja wordpress which is better?
  14. Wambie Wasikie

    Msaada: Usajili wa domain (Tanzania)

    Habari wanaJamiiForums Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain yenye mantiki ya kielimu mbali na kuwa taasisi. Wasiwasi wangu upo kisheria, na hapa ndipo ulipo...
  15. Binadamu Mtakatifu

    Miliki blogu kwa bei cheeeeeeee with domain name .com

    Habari nipo hapa kuwajuza wote watakao penda kumiliki blogu nipo kufanya kazi hiyo Ofa kwa mwana jamiiforums wote Bei 10,000 bila domain Na 15,000 kwa blogu ambayo inakuja na domain name ya .com Mfano wa blogu nilionayo ni hii www.issazilla.com Karibu PM or email: heavyboy255@gmail.com
  16. Samedi Amba

    .TZ Domain name hatimaye

    Habari wanajamvi, Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa: Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo: Sasa hivi wanafanya reservation, kama ulisharegister jina lolote lenye format ya .xx.tz (iwe .co.tz, .ac.tz etc)...
  17. tzhosts

    Understanding the Domain name System (DNS) and Domain names

    Je unajua kwamba domain name ni mtaji? Unapoona jina kama jamiiforums.com hii ni domain name unapoona jina kama tzhosts.com hii ni domain name.Leo nataka tuzungumzie kidogo maana na umuhimu wa domain na jinsi ambavyo unaweza kuitumia ili kujiongezea pesa. Ngoja niwape mfano.Leo hii unaweza...
  18. Samedi Amba

    Hivi .tz TLD domain ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi?

    Habari wanajamvi. Leo nilikutana na Karibu.TZ | .TZ Domain names registration portal (nafahamu ndo website ya TCRA?) Hivi .tz TLD ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi? Anayefahamu atujuze tafadhali.
  19. tutafikatu

    Maajabu: Kusajili Domain yako kupitia UCC ya UDSM unapaswa ujaze fomu kwenye word document

    Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form iliyoko kwenye word format, kisha uwatumie. Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa...
  20. Binadamu Mtakatifu

    Wapi nitapata domain name kwa $3

    Wapi nitapata domain name kwa bei cheap ya $3 kwa mwaka ninunue? Nitaka niunganishe blogger
Back
Top Bottom