dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Google, kuinunua kampuni ya mayahudi ya WIZ inayohusika na usalama mitandaoni cybersecurity kwa rekodi ya kushangaza ya Dola bilioni 32

    Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times. Hii ni dili kubwa zaidi katika...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Japani watoa dola 140,103 kwa ajili ya kujenga jengo la darasa katika shule ya Wasichana Sakura jijini Arusha

    Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha. Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

    Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA Allah azidi kuwaongoza!
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

    Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote? Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali...
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Unga bei juu, Mafuta bei juu, Dola haipatikani

    Kudadeki!! 🤣
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dola ya CCM hukubali Siasa za Makundi, Kuwaondolea Watanzania Viongozi wazelendo, wachapakazi Kwa hoja ya "Ana Makundi"?

    Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti . Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti . UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti. Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua Kila kimoja wapo nyuma yake kuna Wafuasi wengi . Hamna kitu kinaitwa huyu yupo katikati, Hana...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Lebanon yanasa dola milioni 2.5 kutoka Iran zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Hezbollah.

    Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania NETO wanaweza kuwa Chama cha Upinzani kizuri na kushika dola kuliko vilicyopo!!

    Habarini, Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama ajira zao Kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya Tz basi NETO wabadili style yao ya kwenda...
  13. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Jinsi Panyabuku walivyofanya bure kazi ambayo serikali ilitenga dola millioni 1.2 ( Tsh Billioni 3.24 ) kwaajili ya kuifanya

    Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu. Wakati mradi wa kujenga dimbwi la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata ufadhili wa dola millioni 1.2 kukamilisha ujenzi huo siku moja watu wa maeneo hayo waliamka...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wawekezaji wakiongozwa na Elon Musk wametoa ofa dola bilioni 97 kununua OpenAi

    Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee. OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman. Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa. ============ CEO...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.

    Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa. Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

    Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana . So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless Kiko wapi
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Wasira: Wengine ni vibaraka wakubwa, waache uhuni na nchi yetu, sisi tunaongoza dola kwa idhini ya watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
Back
Top Bottom