The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.
Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15...
Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya.
Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!.
Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia.
Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
Huu ndio Ukweli!!.
Nchi hii Toka kuasisiwa kwake, Kwa jicho la karibu utagundua muda wote ipo kwenye Mikono ya Viongozi waandamizi wa Dola ambao Kwa Matendo yao na Imani zao wanajua kabisa kua ikitokea UPINZANI wakashika NCHI , basi Watataabika kwelikweli , na Kwa Muktadha huo, Watu hawa...
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi
https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E
Kuhusu G-55 na Wabunge 19
"Tutawapokea, umezungumza kuhusu Kundi la G-55, mtu yeyote anayetaka kujiunga na ACT Wazalendo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kuwa CCM haitegemei Jeshi la Polisi ili kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Zanzibar.
Akizungumza na wanahabari leo Aprili 16...
Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita.
Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru.
JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA"
"Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja.
Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani.
Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
dhidi
doladola ya marekani
dollar
dollar ya marekani
duniani
fedha
marekani
mwaka
mwaka 2025
shilingi
shilingi ya tanzania
tanzania
vibaya
zaidi duniani
Wadau hamjamboni nyote?
Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe
Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times.
Hii ni dili kubwa zaidi katika...
Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha.
Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.