Na Mwandishi Wetu
Dar es salaam. Shilingi ya Tanzania (TZS) imeonyesha kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani (USD) katika kipindi cha hivi karibuni Kutoka kununuliwa kwa 2,670,00 hadi 2,451.0297 huku wanasiasa, wafanyabiashara, na wananchi wakitazama kwa makini sababu zinazochangia mwenendo huu...