dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ipi imehamia Dodoma?

    Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma. Mawaziri wanaapishiwa Dar Mabalozi wanaapishiwa Dar Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar Rais muda wote yupo Dar...
  2. JamiiForums Tanzania Heko Rais Magufuli kuhamishia Serikali Makao Makuu Dodoma

    Kwa takribani wiki nzima nilikuwa makao makuu Dodoma kwa shughuli binafsi , nimebahatika kutembelea mji wa Serikali, Nzuguni, Ihumwa , Stendi Mpya, Udom, Mipango, Mbwanga nk. Nimegundua kasi ya ujenzi wa miundo mbinu ni kubwa kuliko awali na kuna ongezeko kubwa la watu ambao wanajenga nyumba...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ona CRDB Dodoma aibu, teller wapo 8 halafu watatu tu ndio wanatoa hudumu kwingine kutupu

    Jioneeni wenyewe katika picha hii nimefika hapa takribani dakika 30 nasubiri foleni ya kupata huduma kwa bank teller. Wamejenga teller 8 ajabu tano zipo tupu, waiting line/ que ni kubwa sana takriban watu 60 wengine wamekaa. Kwanini inakuwa hivi, huyu meneja ana kazi gani? Teller 5 zipo tupu...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo. --+ MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

    Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato. Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii. Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato? Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu. Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo...
  6. 0

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dodoma Nala-Lugala

    Kiwanja kimepimwa..ni kwaajili ya shule (nursery) kina ukubwa wa square meter 2786. Bei ni 6000@square meter 1 (maongezi yapo) kwa yoyote alokua interested anicheki watsap no 0755322896
  7. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mabasi yapigwa marufuku kuruhusu abiria kujisaidia ovyo

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepiga marufuku mabasi ya abiria kuruhusu abiria kuchimba dawa (kujisaidia) kwenye maeneo yasiyo rasmi, na kwamba endapo wakibainika watapigwa faini ya Sh. 200,000 au kifungo cha miezi sita jela. Sambamba na hilo, imeagiza mabasi hayo kupuliziwa dawa za kuua...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Sehemu iliyotulia Dodoma

    Wakuu umofia kwenu? Natafuta pub au sehemu yoyote kama bar iliyojificha ficha maeneo ya Dodoma. Nataka niende na mtoto sasa sipendi sehemu yenye watu wengi.
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mvua zinazoendelea kunyesha zaacha watu 1,000 bila makazi

    Zaidi ya watu 1,000 wamekosa makazi, baada ya nyumba 237 kubomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Dodoma. Wakazi walioathirika kutokana na mvua hizo ni wa Wilaya ya Bahi, huku miundombinu ya barabara ikiharibiwa. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mwanahamisi Munkunda...
  10. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kibaguzi kupiga picha za NIDA Dodoma

    Leo nimekaa kwenye foleni ya kupiga picha za NIDA kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa nane kamili Watu ni wengi na utendaji wa hao watu wa NIDA na mashine zao ni slow sana Sasa ubaguzi ni kwamba wenzetu wenye Asili ya kihindi wanafika na hawakai folen wanapita moja kwa moja kwenda kupiga picha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa jijini Dodoma

    Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma. Source: Habari Leo Maendeleo hayana vyama!
  12. JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Dodoma, Nyalandu kuwasha moto mkubwa sana !

    Ni jumapili hii , Wote mnakaribishwa
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Nditiye aagiza TCRA kukagua mabasi yote yanayosafirisha vifurushi bila kuwa na leseni

    Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhakikisha wanasimamia na kukagua mabasi yote yanayosafirisha vipeto, bahasha na vifurushi bila ya kuwa na leseni kutoka Mamlaka hiyo na kuwataka wanaofanya hivyo kuacha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

    Nimesoma habari kuwa ajali imetokea huko Dodoma usiku wa Jumapili 29 December wakati lori lenye namba T364 AZZ lilipokuwa likijaribu kukwepa shimo kubwa barabarani liliigonga Coaster yenye namba T846AYU na watu sita kufa hapo hapo. KUna majeruhi wako hospitali wengine ICU. Kutokana na tukio...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mbona internet ya Dodoma ni Vodacom tu?

    Mimi ni mgeni Dodoma. Kwenye mitandao natumia zaidi Halotel na Tigo kutokana na unafuu wa gharama. Nilipofika hapa internet inasumbua mno kiasi kwamba siwezi kustream na kuangalia video kwenye internet, wakati mwingine hata kuingia JF natakiwa kusubiri muda kidogo. Awali nilijua simu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Job vacancies at SOTEC Co Ltd Dodoma

    About Softbridge Technologies and Consultancy (SOTEC) Softbridge Technologies and Consultancy (SOTEC) is a Private Information and Communication (ICT) Company, which was registered on 01st June, 2009, by Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) under Business Names Act (Cap 213). we...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna viashiria vya mauaji. Familia yatofautiana na Polisi

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa kufeli kwa moyo na kukosa msaada wa haraka wa matibabu, ndiyo chanzo cha kifo cha Sheikh Rashid Bura, ambaye ni mmiliki wa shule za Zamzam mkoani humo. Kamanda Muroto amebainisha hayo leo Disemba 27, 2019, na kusema kuwa mara baada...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

    Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutanisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini. Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni...
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa

    Habari wana Jf na wakazi wa Dodoma.! Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa, Tsh. 2000/= @ 1 litre Monthly Bills na Discount Kwa Maziwa mengi inapatikana. LOCATION: Dodoma Mjini Info; PM Natanguliza Shukrani
  20. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

    Ndugu Rashid Dalai, mmiliki wa shule ya kiislamu ya Zam zam iliyopo Dodoma na pia Mkurugenzi wa taasisi ya Islamic Foundation amekutwa amekufa ndani ya ofisi yake iliyopo ktk jengo moja na ofisi za Magazeti ya Serikali (Habari leo na Daily News) hapa Dodoma mjini maeneo ya Nyerere Square (karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…