Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuanzia wiki ijayo Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaanza kulipa fidia wananchi ambao maeneo yao yalitwaliwa na tayari Sh bilioni 4.5 zimetolewa na serikali kwa ajili hiyo.
Akizungumza kuhusu kliniki ya ardhi iliyoandaliwa na...