dodoma

  1. F

    JamiiForums Tanzania Subject: Exciting Investment Opportunity in Strategic Airbnb Developments – Tanga & Dodoma

    Dear Thinker's I hope this message finds you well. I’m reaching out to present a compelling investment opportunity in the booming short-term rental market. We are launching two exciting real estate development projects designed specifically for the Airbnb model, located in two of Tanzania’s...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Aga Khan Dodoma wana huduma mbovu, Madaktari hawaonekani

    Uongozi wa Aga Khan Dodoma, angalieni huduma mnazozitoa. Watu wanapangiwa madaktari, ila hawako ofisini, wagonjwa mpaka walalamike ndio muwape Daktari mwingine. Hapo ni baada ya kukaa muda mrefu. Mtu anafika saa tatu asubuhi mpaka saa moja hajapata huduma. Yani huduma hazieleweki. Mjirekebishe.
  3. JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
  4. G

    JamiiForums Tanzania Naweza pada dalali dodoma wa kuniuzia mashine mbili za kunyolea saluni kwa haraka maana nimekwama haswa

  5. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Aweso apanda na Suti yake kwenye Tenki kukagua mradi wa Maji Dodoma

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo. Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde. Aweso ametoa wiki...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Amwaga Bilioni 45 Kutatua Tatizo la Maji Jijini la Dodoma

    ▪️Mradi wa visima 10 Nzuguni A kuzalisha lita 20m kwa siku ▪️Visima zaidi kuchimbwa maeneo ya pembezoni ya Jiji kupunguza Mgao ▪️Waziri Aweso aweka kambi Dodoma kushughulikia suala la Maji ▪️Mbunge Mavunde apongeza jitahada za serikali kutatua kero ya maji Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso...
  9. JamiiForums Tanzania Mijadala ya Bungeni Dodoma, ina ufanano wa 80% na Mijadala ya Watanzania Mitaani na kwenye vyombo vya habari kama Radio

    Ukiangalia mijadala ya Bungeni na ukija ukiangalia mijadala ya Wabongo mitaani basi ufanano ni mkubwa sana. kwa kifupi Bungeni pale ni reflection ya akili za Watanzania mtaani. Bunge liko busy na mijadala ya kijinga jinga tu, hawako serious kabisa. Njoo mtaani kwenye vijiwe vya kahawa, usipo...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume Dodoma

    Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya. Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani. Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa maji Ziwa Victoria kuelekea Singida - Dodoma, kukamilika Juni 2025

    Serikali inaendelea na upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi mikoa ya Singida na Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Juni 2025. Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameeleza hayo leo Aprili 14, bungeni jijini Dodoma wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Nguruwe wa Miezi 8 wauzwa Dodoma

    Wakuu Tunauza Nguruwe hai, wenye afya nzuri kabisa na umri wa miezi 8. Ni Nguruwe waliolishwa vizuri kwa ajili ya matumizi ya chakula au ufugaji zaidi. Kwa mawasiliano na kufika shambani, tafadhali tuma ujumbe PM. Eneo: Dodoma
  13. JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anthony Mavunde: Nimejenga soko kubwa Dodoma ambalo litawasaidia wanawake

    Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Tanzania Mhe. Anthony Peter Mavunde ameelezea baadhi mipango mikubwa ambayo ameitekeleza ambayo imekua ikiwatatiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma pia ameelezea mipango ambayo anakwenda kuitekeleza hivi Karibuni wakati akimalizia utumishi wake wa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Itakuwa aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kwenda kusaini fomu za maadili Dodoma 12 Aprili, 2025 wakati Kiongozi mwenzao yupo Jela

    Naona tume (Huru) imetangaza kesho ni lazima vyama vyote vinavyotarajia kuingia kwenye uchaguzi vikasaini fomu za maadili ya uchaguzi.. Soma Pia: Tume, serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi Itakuwa aibu kubwa kama wakienda wakati Kiongozi mwenzao yupo ndani kwa kesi ya...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa: SGR Dar - Dodoma yakusanya TSh. Bilioni 54.9

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habarini za asubuhi wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni degree, naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mussa Mahindoni achaguliwa Mwenyekiti mpya wa BAVICHA Dodoma

    Wajumbe wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Cchadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, leo tarehe 7 Aprili 2025, wamemchagua Joseph Mussa Mahindoni kuwa Mwenyekiti mpya wa baraza hilo katika uchaguzi uliofanyika katika Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kati. Soma Pia: Shangwe la CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…