Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo wa kanisa hilo waliofika kusikiliza shauri hilo.
Msajili wa Jumuiya za...
GT
Aisee nimepitia twiter kuangalia ile nyomi ya dodoma yaani makao makuu ya nchi na bunge, kwa kweli sijshangaa chadema kupigwa stop, watu waliitwa wakaitika hakuna mfano.
Ukweli usemwe tu kwa sasa watanzania kuna kitu wanahitaji ambacho CCM hawana, ni suala la mda tu hizi sarakasi za CCM...
MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA.
▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10
▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri
▪️Wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa ofisi ya Waendesha Pikipiki na Bajaj Dodoma(UMAPIDO)
Dodoma
Mbunge wa Jimbo la...
erikali inasema haijafuta* Kanisa la Gwajima - hakuna maamuzi ya kufuta Kanisa la Gwajima linaloenda kwa jina la Glory of Christ TANZANIA Church. Na wala Barua ya kufuta haijawahi kupelekwa kwenye Kanisa hilo. Kwamba, kinachoonekana kufutwa kwenye ile Barua ya Msajili wa Jumuiya, ni Kanisa...
Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;
2x2 - 2,500
2x3 - 3,700
2x4 - 4,700
2x6 - 7,000
1x4 - 2,500
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 14,000
Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;
2x2 - 2,500
2x3 - 3,700
2x4 - 4,700
2x6 - 7,000
1x4 - 2,500
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 14,000
Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma.
Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
Wazoefu wa mikoa ifuatayo....
Je, kati ya mikoa ifuatayo ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?
(A) DAR ES SALAAM
(B) ARUSHA
(C) MWANZA
(D) MOROGORO
(E) DODOMA
USIACHE KUTOA/KUELEZA NA SABABU.
Right Marker
Dar es salaam
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari.
"Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
Habari wanaJamiiForums
Naomba mtu yeyote mwenye mchongo wa kazi anisaidie.
Kitaaluma Mimi ni mwalimu ila Nina fani mbalimbali ninazoziweza tofauti na uwalimu kama vile.
-Ujenzi
-Computer
-kusimamia biashara/mradi
Hivyo mtu yeyote mwenye mchongo anisaidie nipo Dodoma
Contact
* Mob...
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake...
Wasalaam.
Natafuta mchora ramani aliye Dodoma nina eneo la square meters 197 ambapo nataka nijenge frem za kisasa. Kwa mpango wangu nataka chini zikae nne na juu zikae nne.
Mchora ramani mzoefu na mbunifu aliye Dodoma anicheki.
WAZIRI MKUU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA TBS MAKAO MAKUU DODOMA
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la TBS (VIWANGO House) kesho Juni 04,2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa...
Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya)
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo:
Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68
Taifa lisomeshe vijana...