dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba unavyoleta Usumbufu kwa watumia barabara Dodoma

    Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi. Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana. Mtu anapaki gari katikati ya Barabara bila kujali watu wengine wanapata taabu kiasi gani. Kama huyu...
  3. JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  4. JamiiForums Tanzania MD Twange akagua maendeleo ya miradi ya umeme Dodoma

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange Julai 18, 2025 amefanya ziara ya kuagua maendeleo ya Miradi ya umeme ukiwemo wa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Zuzu hadi Mbande, Mradi wa kusambaza umeme ardhini katika mji Serikali na Mradi wa Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Mjini Mkoani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Afisa mazingira dodoma, huyu anayejenga ghorofa hapa barabara ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka kingo

    umelala? huyu anayejenga gorofa hapa barabar ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka zile kingo. vibarua wake wamekazana kutoa mawe kwa jeuri wala hajali watu.anasimama akiona gar tu kwa vile anaogopq kulala ndani.ila.maisha ya watu je? njoo haraka uone watu wanavopiga kelel...
  6. JamiiForums Tanzania Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

    Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla. Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya ‘Anzia Ulipo’yazinduliwa rasmi Dodoma

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Watu wameumia sana rohoni Mbowe kuonekana Dodoma ufunguzi wa Dira 2050 na kukosa mahakamani

    Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake. 1. Anagombea Urais Chaumma 2. Atapewa ubunge katika viti 10 vya Rais na kuwa Kiongozi wakambi ya upinzani 3. Chauma watapewa viti kuweza...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

    Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  11. JamiiForums Tanzania Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma

    Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa. I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila kituo cha SGR mitandao isiwe na kwikwi. Nawakilisha
  12. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
  13. JamiiForums Tanzania Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Watu mnao miliki mijengo Luxury Mansions Dodoma na Dar es salaam na mnampango wa kuziuza mimi ninatafuta kununua

    Habari wakuu, Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara. Napendelea kupata maeneo ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Elias Njoli achukua fomu Kugombea Udiwani kata ya Madukani, Dodoma

    Kada na Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Madukani Dodoma Mjini, Elias Njoji amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea udiwani kwenye kata hiyo Njoji amekabidhiwa fomu jana Julai Mosi, 2025 na Kaimu Katibu Kata ya Madukani, Neema Magoda Soma pia: Pre GE2025 -...
  16. JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma litakuja kuwa jiji la kisasa sana

    Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana. Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa. Kuanzia ujenzi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Pili Hassan Moshi atia nia ya udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Ndugu Pili Hassan Moshi leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma ajitosa kuwania ubunge Dodoma Mjini

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini katika uchaguzi mkuu ujao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele achukua fomu Dodoma Mjini

    Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo la Dodoma Mjini. Leo chama hicho kimefungua pazia kwa makada wake kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania Ubunge na Udiwani.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…