Wanabodi,
Mimi mwanabodi mwenzenu, Mzee Pasco, niko hapa jijini Dodoma, nikiwatangazia live mubashara, from Uwanja wa Dr. John Samwel Malecela, Nzuguni Dodoma, kuwaletea kilele cha maadhimisho ya sikuu ya Wakulima ya Nane Nane, inayoadhimishwa kitaifa hapa Dodoma, kiukweli Dodoma Kuchele...