dkt. tulia ackson

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 17 Septemba 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Saqr Ghobash, katika Ofisi za Bunge hilo zilizopo Abu Dhabi. Katika...
  2. Erythrocyte

    Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

    Japo inafahamika kwamba Tulia Ackson hana Aibu yoyote kutokana na uzoefu wake kwenye Mambo ya ajabu, Ukizingatia kwamba Alikuwa anatembea na Majeneza kule Mbeya wakati akisaka Ubunge (Ishara ya Ushirikina). Hata hivyo Wakili Msomi Fatuma Karume amemuumbua kutokana na kujifanya kupata uchungu...
  3. figganigga

    Morogoro: Rais wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson na msaada wa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 26 Julai, 2024 alitoa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Kata ya Ching'anda Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya...
  4. figganigga

    FULL TEXT: Sababu za Luhaga Mpina kuwafungulia Kesi ya Sukari. Spika wa Bunge(Tulia Ackson), Waziri wa Kilimo (Hussein Bashe) na Wakulima wa Miwa

    TAARIFA YA UFAFANUZI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SINTOFAHAMU INAYOENDELEA JUU YA SAKATA LA UTOAJI WA VIBALI VYA KUINGIZA SUKARI KUTOKA NJE YA NCHI NA HATMA YA KILIMO CHA ZAO LA MIWA NCHINI. LEO TAREHE 29 JULAI 2024. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari...
  5. Tajiri wa kinyankole

    Spika ajue kwamba mpina kuna watu wengi wako nyuma yake ambao hawakubaliani na mambo yanayofanywa na serikali.

    Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa na viongozi wa serikali. Kimsingi naona spika hapa anaenda kutoaminika kwa umma kwa kile...
  6. figganigga

    FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

    MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI LEO TAREHE 14 JUNI 2024. MHE...
  7. peno hasegawa

    Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson ziarani nchini Misri

    Kwa Hali hii, tutarajie nini? Tumepigwa na kitu kizito! Misri wanakuja nchini kuwekeza Kwa Kasi kubwa. Hii Ke tunaowaamini, tunauzwa mchana peupe. ========== Mhe. Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) tarehe...
  8. Roving Journalist

    Nape: Wanahabari wahamasishe wananchi kugombea nafasi mbalimbali uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kujali vyama vyao

    Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanaendelea Jijini Dodoma, leo Mei 2, 2024. Spika wa Bunge la Tanzania - Tulia Ackson ndiye mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo yanayofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre...
  9. ChoiceVariable

    PreGE2025 Ubunge wa CCM Mbeya Mjini Fomu Itakuwa Moja Tu ya Dkt. Tulia Ackson

    Hii ndio habari inayobamba huko biunga vya CCM Mbeya ,kwamba Spika wa Bunge na Rais wa Mabunge Duniani atakuwa mgombea pekee wa Jimbo la Mbeya Mjini Kwa time to ya CCM. ---------- Kauli ya baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kuwa wamejipanga kumkingia kifua mbunge wa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Ni ngumu sana kumpata Mwanamke kama Tulia Ackson. Ana uwezo mkubwa, anafaa kuwa Rais

    Habari za Sabato! Sijawahi kumfahamu Mwanamke yeyote kwa hapa Tanzania mwenye uwezo kama Tulia Akson. Sisemi ili wengine wamuonee Wivu, wala sisemi ili yeye awe na Kiburi. Ila naongea kila ambacho ninaokiona Kwa Tulia mwenyewe. Kama utapata Nafasi ya Kumsikia Tulia Akson akizungumza iwe kwa...
  11. B

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ziarani Morocco

    18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco, Mhe. Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo zilizopo...
  12. B

    Dkt. Tulia Ackson awataka Mawaziri waliopumzishwa kwenye nafasi zao waondoe wasiwasi

    Ikiwa wakiteuliwa wanaachwa wapumzike tu then wanarudishwa tena. Wakichoka wanapumzishwa uchovu ikiisha wanarudishwa tena. Je, sisi Chawa wa Mama ma Chawa wa Chama ni lini tutaingiamo? Au nafasi hizi ni za kwao tu? Sitasema mengi oneni mwenyewe. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson...
  13. L

    Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

    Ndugu zangu Watanzania, Mbeya kumenoga, kumekucha, kumependeza, kumepembazuka, kumechanua, kunavutia, kunaleta hamasa, matumaini, faraja, Tabasamu na furaha. Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya, chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini...
  14. ChoiceVariable

    Dkt. Kalemani achangia Bungeni kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 8, Spika amuongezea muda

    Yule Waziri wa Zamani wa Nishati aliyetumbuliwa na Rais Samia Bwn. Kalemani amechangia Kwa mara ya kwanza Bungeni baada ya miaka 8.. Hongera bwana Kalemani wa Chato Kwa kushinda Kinyongo 🤪🤪 ======= Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani leo amechangia bungeni kwa mara ya kwanza akiwa kama...
  15. M

    Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
  16. S

    Spika Tulia Ackson ana "conflict of interest" katika Wizara ya Nishati, mume wake ni bosi wa EWURA

    Leo asubuhi tumeshuhudia jinsi spika wa bunge Dokta Tulia akihaha kuhalalisha kuwa kikanuni akidi (idadi) ya wabunge imetimia na mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati itaendelea tu japo kuna wabunge zaidi ya 200 wamesusia mjadala wa wizara ya nishati leo asubuhi. Dr. James Andilile ni mume wa...
  17. H

    Spika Tulia Ackson usimvimbishe kichwa Sugu

    Hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2, ni uoga na kumvimbisha kichwa Sugu. Jimbo la Mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo kama ulivyoeleza, na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine ya mikoa mingine, CCM ni chama kikubwa na kinachokubalika Jimbo la mbeya hivyo usimpe credit Sugu...
  18. Michael Uledi

    Dkt. Tulia tayari kashampa "Chakula" Sugu

    Hakuna Hisani kubwa ambayo aliyekuwa Mbunge wa Mbeya kwa tiketi ya Chadema Osmond Mbilinyi amewahi kuipata kutoka kwa Mbunge wake na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr Tulia ACKSON MWANSASU! Habari nyepesi kutoka "kitaa" Mbeya zinasema kama Mr II angekuwa na busara na hekima...
  19. The Burning Spear

    Kuwepo na Bunge la kujadili ufanisi wa bajeti iliyopita Kabla ya kuanza kujadili nyingine

    Hoja ya Dkt. Tulia kusema hili ni bunge la bajeti na siyo la kujadili report ya CAG lipo sahihi, lakini kwa nini report ya CAG ijadiliwe baada ya kupitisha bajeti nyingine ilihali iliyopita ufanisi wake ni sufurisufuri. Kwanini tisingeanza kujadili madudu ya bajeti iliyopita badala ya kuendelea...
  20. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
Back
Top Bottom