dini

  1. D

    Kuna la kujifunza kutoka kwa wadada wa kazi ( dini na maeneo wanayotoka iko nyuma kielelimu)

    Sina nia mbaya! Lakini kwa muktadha wa nadharia! Asilimia 40%-55% ya nyumba nyingi mijini zina dada wa kazi! Hivyo katika kila nyumba 100 maana yake kuna wadada wa kazi 55 majumbani! Hivyo katika makazi 10000 ya mji mmoja! Maana yake wapo wadada wa kazi takribani 55000 Hawaijui kesho yao...
  2. Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    BAADA YA WANAWAKE WA CHADEMA KUACHIWA, SISI VIONGOZI WA DINI TUMESITISHA SAFARI YA KWENDA MBWENI NA KWENDA KUMUONA IGP SIRRO! Jumapili tulitangaza kuwa kama siku ya Jumatatu Jeshi la Polisi lisingeliwaachia viongozi wa CHADEMA 7 na Waandishi wa Habari 2 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha...
  3. Dini na Imani za watu

    Imani kwa tafsiri ijulikanyo na wengi nikuwa na matumaini na mambo yatarajiwayo.Unapokua na tumaini na jambo ambalo hulijui kwamba jambo hilo lipo na linawezaje kubadii maisha yako tunasema wewe una imani.Watu wengi huzani imani ipo kwenye dini tu, lakini la hashz imani ipo katika nyanja...
  4. SoC01 Brainwashing kwenye Dini. Kushamiri kwa Madhehebu, Na muelekeo unaofaa kufatwa na Jamii kwa ustawi wa Afya ya akili.

    Utangulizi. Nadhani sisi sote ni wafuasi wa imani fulani maishani.Either iwe ya kidini ama ya kifikra zaidi(scientific). Na hizi Beliefs system ndizo sana sana zinatuongoza maishani mwetu juu ya kile kipi tunafanya kila siku. Mada. Kwa Africa Uislamu-uliletwa na waarabu kipindi cha ukoloni na...
  5. Msingi mkuu wa dini ni hofu au imani?

    Ni swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
  6. Mrema atoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha waumini kuhusu chanjo

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri. Akizungumza jana wakati wa misa...
  7. Kumbe viongozi wa dini wameamriwa kuwaombea wafalme na wenye mamlaka

    1 TIMOTHEO 2 Mafundisho kuhusu sala 1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza...
  8. Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

    Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito wa kauli hii? Kwa maana hiyo wafia dini wote ni magaidi? Hamza alikua muumini wa dini ya kiislam...
  9. Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

    Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road. Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi...
  10. Swali Fyatu: Wanaosali kwa Gwajima wako Dini Gani?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara toka wakati wa Sakata la kijana yule kutoka Kolomije...na kabla yake like suala la ushenga...na yale "maufundi"... Sasa katika Sakata lililochukua sura ya kifamilia na Kikolezo cha Imani vinaniacha na maswali. Hivi Askofu Gwajima anatekelezaje lile Agizo Kuu...
  11. Serikali wekeni dini mbali na mambo yenu ya Kiserikali ili nyote muwe huru

    Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu. Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia...
  12. Kusajili dini ni kinyume cha Katiba ya nchi kifungu namba 19

    Serikali haina mamlaka ya kusajili dini ni kinyume cha katiba ya nchi kifungu cha 19 hiki hapa nanukuu 19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake. (2) Bila ya...
  13. B

    Tusichanganye Dini na Siasa, ni hatari

    Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao? Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani...
  14. UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

    Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina...
  15. Wazazi wa binti wa Kilokole wamenikataa hata baada ya kusema nitabadili dini na kuwa kama wao

    Nimempenda binti wa kilokole sanaa, mnooo na nataka kumuoa. Sujaomba hata busu nikaomba kwenda kwa wazazi wake ili nifuate taratibu zote na si uchochoroni. Cha ajabu wazazi wa binti wamekataa kisa mimi sio wa imani yao. Nikasema okay, mimi nakuja kuokoka na nitakuwa muumini wa kanisa lao bado...
  16. Serikali kuanzisha utaratibu wa kuzisajili taasisi za dini kila baada ya miaka 5 una lengo la kuwaziba midomo viongozi hao wa dini

    Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5. Huu ni utaratibu mpya kabisa, ambao haujawahi kuwepo tokea nchi yetu ipate uhuru wake, miaka 60 iliyopita. Ni...
  17. M

    Elimu ya Dini muarobaini wa mmomonyoko wa maadili na utovu wa nidhamu mashuleni na vyuoni

    Kutokana na kuporomoka kwa MAADILI na utovu wa nidhamu ulio kithiri mashuleni,vyuoni na jamii kwa ujumla ni wazi sasa serikali inalazimika kuliweka Somo la ELIMU YA DINI mashuleni na vyuoni kuwa ni LAZIMA kama njia ya kupambana na CHANGAMOTO hizi ELIMU YA DINI hili ni Somo ambalo litakuwa...
  18. Nchi yetu ni secular state/Haina dini

    Watanzania wapambanaji wenzangu habari. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu.Binafsi nimekuwa nakereka na tabia ya baadhi y watanzania wenzetu ambao wamegeuza maeneo ya kupumzika,majengo ya abiria na vyombo vya usafiri kama sehemu ya kufanyia mahubiri au mtangazo ya dini. Hii imekuwa too much...
  19. B

    Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  20. Viongozi wa dini tuwaeleweje: Mmekubali Mungu hawezi kuondoa Corona kwa maombi?

    Mnakuwa neutral sana. Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi. Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…