dini

  1. JamiiForums Tanzania Dini zetu zimetufunga waumini katika maisha ya mitume

    Mungu ni msimulizi hodari wa historia za manabiii wake ambao walishindwa kuandika sheria za mungu ila wanafunzi ndiyo msingi wa kusimama dini hizi, ila naogopa sana kwani maisha ya mitume tumeyapata kutoka katika hadith zilizogawanywa kwa watu tofauti na vipo vitabu vya wafuasi wa karibu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaolalamikia dini kama chanzo cha umasikini Bongo ni watu wenye uelewa mdogo

    Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa. Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga. Kwa nini watu hawa...
  3. JamiiForums Tanzania Mhadhiri/lecturer wa chuo aliyejiunga Alshabaab, magaidi yenye mlengo wa dini

    Ni aibu sana kwamba hata ilmu ya dunia haiwakomboi mazombi wa kidini... https://twitter.com/ntvkenya/status/1756679714809205215
  4. JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya baadae (kwa future) (A) Maana yake mimi siwezi kwenda kinyume na anachokijua Mungu, sasa hii kauli ya...
  5. JamiiForums Tanzania Bora sauti za mziki kuliko mahubiri ya dini

    Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini. Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako. Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
  6. JamiiForums Tanzania Bikira ina nini special kwa watu wa dini hadi waitukuze kiasi hiki?

    Kuna dini moja inamwabudu mwanamke bikira, alizaa mtoto zaidi ya mmoja, lakini bado wanamuita bikira mtakatifu mama wa Mungu. Dini nyingi wanaamini kwamba peponi ukifika unapewa wanawake bikira 72, ambao ni mabikira milele, hata uwafyantue kiasi gani wao wataendelea kuwa mabikira tu milele na...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

    Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana. Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
  9. JamiiForums Tanzania Ujamaa wa Tanzania na Dini (Hotuba ya J. K. Nyerere - 1970)

    HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70 Key Take Away: NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini... Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani); Tunaulizana Habari za Maji, Maharagwe na Mabarabara..... Lakini hatuulizi Kabisa kama ipo Pepo...
  10. JamiiForums Tanzania Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

    Hawa ndio maadui wa Taifa letu: 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini 4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini ) 5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu. Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
  11. JamiiForums Tanzania Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

    Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia. Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Akiondolewa kwenye cheo hicho ataanza kulia lia tena na kwenda hata kwa viongozi wa dini kumwombea!

    Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi ya wote ni yeye, kuonewa ni yeye, kutishia ni yeye tu, kutunga sheria za papo kwa papo ni yeye...
  13. JamiiForums Tanzania Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile. Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
  14. JamiiForums Tanzania Historia na miaka ya hizi dini na waasisi wake

    Kwa mnaopenda kulipuka mabomu kisa dini, hebu jitafuteni humu, wapi mlikoanzia na mliowakuta....
  15. JamiiForums Tanzania Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

    Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia nguvu kubwa kuvamia taifa la watu ambao wamehalilisha rushwa kama sehemu ya utamaduni wa maisha yao...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Magaidi wa ADF wauawa na watoto mateka waokolewa

    Magaidi ya ADF ambayo ni mlengo wa magaidi ya Islamic State (dola la kiislamu) yameuawa na wanajeshi wa Uganda na DRC, pia watoto na akina mama walioshikiliwa mateka wakombolewa. Jamaa wamewahishwa kwa mabikira. ========= Three rebels were killed, and eight individuals, including five children...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kundi la dini aliyekamatwa afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla

    Nairobi, Kenya. Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rejesho:kubadili dini niwe muislamu

    Wapendwa wa jf mambo zenu , Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake . Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Madhehebu ya dini wahurumieni waumini wenu

    Wanabodi, Asalaam Aleikhum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, Shalom. Ama baada ya salaam nilejee kwenye mada yangu ya siku ya leo ambayo msingi wake nikuongelea hizi zinazoitwa shule za madhehebu mbalimbali ya dini hususani Wakristo. Tuwapo makanisani tumekuwa na michango na harambeee...
  20. JamiiForums Tanzania Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

    Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua. TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo. Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa Manabii na mitume wote wa Afrika. Wafuasi wa mitume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…