Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao.
Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni...