dini

  1. J

    Katoliki na Walokole ndio walio wengi nchini kuliko madhehebu mengine ya Dini mbalimbali hivyo wajiepushe na Siasa!

    Ni ushauri tu katika kudumisha Amani na Upendo kwa wananchi wote Ahsanteni sana Mlale unono 😁
  2. Kauli Inayotolewa na Viongozi wa Chama na Serikali ya Kuwataka Viongozi wa Dini Wasichanye Dini na Siasa ni Kauli za Kishetani.

    Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:- 1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA. 2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
  3. Pesa ni ukafiri ndani ya dini hizi mnazo

    Leo nimefikiria kwa nini diamond kawa msimamizi wa harusi ya jux. Mi sijawai kuona anayekusimamia harusi hajaoa. Dini hipo kwa maskini tu.
  4. Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .

    Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .
  5. Kwa Mshikamano Huu, Haki iendelee kuimbwa na Kila Kiongozi wa Dini , CCM wameanza kutoa kilio Cha chinichini karibu watalia Kwa SAUTI

    Niwashukuru sana Kwa dhati Viongozi wote wa DINI ambao wameamua kutoka hadharani na kusema juu ya HAKI. Kwa Tanzania ,HAKI imegeuka kua Chozi la Samaki. Mwaka 2020 , nilinyimwa HAKI ya kuchagua baada ya MTU Kupitishwa bila Kupingwa, iliniuma sana sana !!.
  6. Sikukuu za Dini nyingine kama Hinduism zinapaswa kuanza kuthaminiwa na kutambulika Kitaifa kama Public Religious Holidays.

    Mandhari ya kidini Nchini Tanzania inatawaliwa na Ukristo (takriban 55-63% ya idadi ya watu) na Uislamu (31-34%), huku vikundi vidogo vikifuata Dini za jadi za Kiafrika (1-11%), na dini nyingine kama Uhindu, Ubuddha, Usikh, na Baha’i (chini ya 1% kila moja). Zanzibar ni tofauti, ambapo 99% ya...
  7. Arusha: Viongozi wa dini waungana kumfanyia maombi RC Makonda

    Viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbalimbali mkoani Arusha leo wameungana katika ibada maalum ya Ijumaa Kuu kumuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, kwa ajili ya uongozi wake na ustawi wa Mkoa wa Arusha. Ibada hiyo ya Pasaka – Ijumaa Kuu imefanyika katika viwanja vya...
  8. Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #π™†π™–π™―π™žπ™‰π™–π™π™©π™ͺ𝙏π™ͺπ™£π™–π™¨π™€π™£π™œπ™–π™ˆπ™—π™šπ™‘π™š
  9. H

    Tafakuri za nguvu kwa wafia dini za kuja

    Mwanafalsafa wa Amerika na Profesa Noam Chomsky, akiwa na umri wa miaka 95 anagundus:- Katika maisha ya Wafia dini wa Kiafrika zipo tafakari zenye nguvu ili kuachana na fikira za kiti cha enzi cha maneno dhana ambayo inatakiwa iwekwe wazi juu ya mifumo ya ulimwengu, ni pamoja na:- "Hakuna nchi...
  10. M

    Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

    Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Kama hakuleta dini ulimjuaje kama yupo? Surat Al-Baqara (2:132)
  11. Dini haina mchango wowote katika ubora wa siasa na uongozi wa nchi

    Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi ! Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
  12. M

    Ukitaka uishi kwa raha usiingie katika Siasa, zama katika Uislamu

    Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu. Mambo ya Msingi katika Uislamu...
  13. Dini imekuwa manukato kila mahali inanukia

    Sasa hivi watu wanamuacha Mungu, wanabishana kuhusu dini ya kweli. Kuishi Mungu anavyotaka ni rahisi sana, fuata amri 10 alizotupatia Musa hapo utaishi vizuri kabisa. Achana na hizi dini maana dini ni biashara za watu, ukifuata sana dini utamuacha Mungu. Vitabu vipo tusome tuelewe na sio...
  14. H

    Wafia dini ni debe wanaamini hawa alitoka ubavuni mwa adamu ila mama zao walizaliwa na wakawazaa!!

    Sasa kama hawa alitoka ubavuni mwa adam kama jinsia ya kike je hizi jinsia za kike nyingine pia zilitoka ubavuni mwa jinsia ya kiume ya samaki,kuku,bata,nyoka,nk? Kwanini wanawake i.e:hawa wasiendelee kutoka kwenye ubavu wa wanaume i.e:adam? Wafia dini jiongezeni!!
  15. Kumbe Saudi Arabia ni kinyume cha sheria kushuhudia Ukristo/Injili ili kuwabadilisha watu dini!

  16. Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika

    Makala: Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya Utangulizi Historia ya Afrika haiwezi kueleweka kwa undani bila kutazama nafasi ya dini katika harakati za ukoloni, biashara ya utumwa, na mabadiliko ya kijamii. Katika karne ya 15...
  17. R

    Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
  18. U

    Enyi wakiristo mnazo sheria za ndoa, talaka na mirathi kwenye dini na Biblia yenu kama ilivyo kwenye dini ya haki ya Uislamu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tutazidi kupeana ilimu Ili tukae sawa Hakuna shaka kwenye Uislamu mambo husika yametajwa kwenye sheria na Kanuni zake na yapo wazi kabisa chanzo kikiwa ni kurani Ndugu zetu wakiristo hebu tuwekeeni sheria zenu na mtaje wapi mnazinuu Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  19. Chionda: Giniazi la historia anayeamini dini ni utapeli

    https://youtu.be/UIimWL8wEs8?si=tSuKOhQd5nvwbyc5 Nimemsikiliza dakika zote. Huyu msela ameshiba historia kwa kiwango cha kushangaza sana. Kama huwa unajiuliza giniaz ni mtu wa namna gani,basi jifunze hapa. Huu ni mfano halisi wa giniazi. Anaeleza historia kama vile alikuwepo. Hata kama ni...
  20. M

    Father Kitima Uko wapi Chadema inaangamia, viongozi wa dini mtatupeleka shimoni msipokuwa makini

    Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu. Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli? Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…