Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.
Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.
Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
Habari..
Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa na kanisa)
Nimeshahudia kesi za watu watatu wakristo, mmoja alifunga ndoa na mwanamke ambaye...
Na: Rorschach
Katika jamii zetu, tunaamini kuwa yeyote anayekwenda kanisani au msikitini ni mtu wa dini, muumini thabiti wa mafundisho ya imani husika. Lakini swali la msingi ni hili: Je, watu wote wanaohudhuria ibada kweli ni waumini? Je, kuna uwezekano kuwa makanisa na misikiti yetu siku hizi...
Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
Viongozi wa dini wamekuwa wakienda maofisini na maeneo mbalimbali wanapoitwa na wanasiasa. Wakiwa mbele ya wanasiasa wote ugeuka nakusifia kwamba hali ni shwari
Lakini weekend hii wametoa matamko magumu sana utawala wa kisiasa nchini. Wamezungumza kama vile wamewahi kuomba forum ya kuwaeleza...
Nilichojifunza humu JF ikitajwa Israel kwenye masuala haya ya migogoro WA mashariki ya kati.. Kuna kundi ambalo ni diehard fans WA Israel Yan hao huwaambii kitu kuhusu Israel Hata iweje
Hata wakiskia Israel wamepiga bomu shuleni.. wao safiiiii. au wamepiga bomu hospital wao safiiii tu...
Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka:
Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
Uwepo wa Ukristo barani Afrika unaendelea kuendana na hali za kijamii, kisiasa na kiuchumi za bara hili. Hotuba inayozunguka taasisi ya Kikristo barani Afrika ni ngumu, yenye viwango tofauti vya uungwaji mkono, upinzani, na hali ya kutoelewana. Hata hivyo, Ukristo umekuwa mojawapo ya taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.