digital marketing

  1. Nafasi za Kazi: Digital Marketing Officers (Tourism & Hospitality Sector)

    Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi. 🔑 Muundo wa Kazi Kazi yako kuu ni marketing & client acquisition — kuhakikisha wageni wa kimataifa na wa ndani...
  2. Wale Ma-Tour Guide na Tour Operators: Huu Ndio Uzi wa Kupiga Pesa Kiroho Safi kwa Digital Marketing, Wageni Waje Wenyewe

    familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau story za kusubiri ajira serikalini au NGO, hizo ndo zile za watu wanaishi kwa matarajio na kuamka kila...
  3. B

    Brand manager na digital marketing na content creator wa wasafi soap mnaua biashara ya izo sabuni

    Naomba kuwasilisha hili wakuu Hivi karbuni msanii diamond alizindua bidhaa yake mpya ya wasafi soap.( Kuhusu ni Yale au sio yake ilo alinihusu) Baada ya uzinduz huo kumekuwa na shot clip videos nyingi za matangazo za kuitangaza sabuni iyo. Kitu ambazo ni kizuri in digital marketing, bidhaa...
  4. Digital Marketing kwa Ajili ya Kuwezesha na Kuwashawishi Wapiga Kura

    Habari wanaJF, Natumaini tunaendelea vizuri. Niko salama hapa Morogoro. Nimeumiza sana kichwa kuwaza namna ya kutumia teknolojia kwa ajili ya kuwasaidia wagombea kuwafikia wapiga kura kwa urahisi. Nlikuwa naomba uzoefu kwa anayefahamu. Nini kifanyike? Unatumia mbinu zipi? Ipi ina smaku/kivutio...
  5. B

    Digital marketing and social media manager nipo hapa

    Mambo vp wadau Leo nmekuja km digital market. Ni sekta muhimu sana wa wafanya biashara na watoa huduma. Km unakampuni au biashara yoyote ile lazma utahitaji kuwafikia wateja wengi. Na njia rahisi ya kufikia watu ni kwa njia ya mtandao( website au social media) Basi ukisha hitaji soko la...
  6. Digital Marketing Specialist at Knauf September 2024

    Knauf stands for opportunity. We know that opportunity looks different to each person, and we are proud that we see opportunity in everyone. This exciting role within the Marketing Team could be the perfect next opportunity for you to build a unique career, in a values-led culture with a clear...
  7. J

    Understanding Digital Marketing in the Simplest Terms

    Digital marketing might sound complex, but it's essentially using the internet and electronic devices to promote products and services. Let's break it down step by step to understand it better. What is Digital Marketing? Digital marketing is like traditional marketing, where businesses try to...
  8. DIGITAL MARKETING SPECIAL THREAD;Where Digital Marketers Meet. Assistance, Tips, New Trends, Opportunities, and Clients

    Habari wanaJamiiForums Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing! Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara, wajasiriamali, na mtu yeyote anayejitahidi kujenga uwepo mtandaoni. Uzi huu unalenga kuwa kitovu cha...
  9. S

    SoC04 National digital marketing

    -Ni wazi kwamba dunia nzima matumizi ya simujanja(smart phones) na kompyuta yametawala kwa kiasi kikubwa. -Ni vyema kwa serikali kuanzisha mfumo utakaojulikana kama NATIONAL DIGITAL MARKETING (NDM) ambapo itakuwa ni teknolojia ya habari na mawasiliano katika nyanja ya biashara na masoko...
  10. T

    Wanaojua watufundishe kuhusu 'Cortex digital Marketing' je, ni matapeli?

    Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida. Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy wakishirikiana na makampuni mbalimbali. Wanachofanya ni ku-recruit watu kufanya kazi ya ziada binafsi...
  11. Tunafanya graphics , priting & packaging

  12. K

    Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  13. Jinsi Ya Kuanza Digital Marketing 2023, Anza Leo Fursa Hii Ya Mtandaoni

    Digital Marketing - moja ya mada zinazotajwa sana haswa katika fursa za mtandaoni. Wafanyabiashara wengi wanasifu kuwa ni njia muhimu sana katika ukuzaji wa biashara. Kitu ambacho vyuo vingi vimeanza mafunzo ya kozi za digital marketing, lakini hii haimaanisha ni lazima uwe na college degree...
  14. Natoa huduma ya digital marketing

    Service yangu ni kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa na Vipindi vya Kuvirusha kwenye youtube instagram na Facebook ... Nakutengenezeae account ya Youtube instagrama na facebook kama hauna then nakuandalia ratiba ya kupost ya mwezi mzima kulingana na huduma unayotoa au biashara unayofanya ...
  15. Power of Storytelling

    Kuanzia kwenye uchumi mpaka kwenye maisha yetu ya kila siku hatuna watu ambao watatuambia kitu ambacho mtu wa Kawaida hawez kukiona Mfano Ukienda ulaya utaona planning y miji katika nchi za ujerumani ni tofauti na France, Spain, na england, kote huko ukienda unakuta na upangaji wa miji unique...
  16. I

    Hivi nikifungua digital marketing agency hapa Dar es Salaam, clients wapo?

    Habarini wakuu Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa. Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kutumia ujuzi huu nilionao kuniingizia kipato zaidi. Je nikifungua digital...
  17. M

    Ni suala la muda tu

    Unahisi kuna lugha ngapi duniani? 6,500-7,117. Tena hizi ni zile zinazojulikana na zikiwa kwenye hatari ya kupungua. Vipi kuhusu zile ambazo hazijulikani? Wewe je unajua na kuzungumza lugha ngapi mbali na Kiswahili, Kiingereza na lugha ya kabila yako (Kilugha)? (Washiriki wa mafunzo ya...
  18. A

    Fahamu siri kubwa na faida ya DIGITAL MARKETING katika biashara yako

    MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini? MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli za kunadi masoko kwa uuzaji bidhaa mitandaoni/ na services (shughuli) kwa kutumia vifaa vya...
  19. Hivi kuna Degree, Diploma au Certificate ya Digital Marketing?

    Siku hizi suala la Marketing limehamia mtandaoni, si Tv, magazeti, mabango, wala Radio zinazoweza kushindana na digital katika kutangaza. Nimekuwa natangaza biashara facebook/insta. Ni msitu mkubwa na changamoto ni nyingi. Na ili upate matokea yote inabidi kuielewa vizuri. Bado najifunza lakini...
  20. Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (2)

    Upi mtandao sahihi zaidi wa kijamii unaoweza kuutumia kutangaza biashara yako mtandaoni? Tangu kuvumbuliwa kwa mtandao wa intaneti miaka 60 iliyopita, mapinduzi ya teknolojia yamerahisisha mawasiliano kwa kiasi kikubwa. Moja ya mabadiliko hayo ni uwezo wa kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…